Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Mbona kawaida tuu hiyo? Kuna jamaa miaka ya 80s tunatoka masasi kuelekea tunduru. Aliachia! Bus zima na tulikuwa nyomi! Ilibidi dereva asimamishe watu wakachimbe dawa! Maana harufu basi zima!!!!
 
Kuna siku naenda kutoa hela kwenye ATM chuo nashangaa aliyekuwa ndani ananionyesha ishara nisiingie maana kwenye ile booth kuna ATM mbili, Bwana kumbe mwenzangu alikuwa kaachia bonge la ushuzi hataki mtu aje na bado hakuwa amechukua hela.

Nilivyoingia nikakuta harufu mbaya ya vitunguu swaumu na uozo si uozo, jamaa alitimka fasta kishenzi hadi akasahau kadi yake .... yule jamaa nilimvulia kofia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukiambiwa uwage unasikia lamkuu
 
[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo Ni Noma Kweli... Niliwahi kumuamkia mtu na kuitikia mwenyewe... staki tuu kukumbuka.
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna jamaa alikuwa anajambia katika dumu alafu anafunga na mfuniko,, anatunza ushuzi hata kwa wiki, siku akija class anafungua mfuniko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Darasa lote ni harufu ya mavi,,

Alikuwa anafanya ivo ktk somo la english[emoji16][emoji3]

Hapo tcha anawai kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…