Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

[emoji16][emoji24]
 
Tafsiri tafadhali
Doso
Kusimika
Bunango
 
kuna cku nipo kwenye basi,,yale mabasi kitambo kidogo ya seat za watu wa3 mmoja dirishani,mwingine ktkt na mwingine pemben.barabara ilikua ya vumbi so jamaa wa dirishani kafunga kioo eti anaogopa vumbi,mm ndo nimekaa ktkt yao,bana tumbo si likavuruga ghafla?,,nikavumilia kuubana ushuzi zaidi ya nusu saa,,yan ukija naubana hadi unapotelea ndani kwa ndani huku ukinizidishia gesi kujaa tumboni,,nikaona useng huu,,nilikuja kubomoa ushuz flan hv wa ela yote,,watu walitaftana pale ndani ya gari kwa karibia dkk nzima huku mie nimetulia kimya km cjui kilichofanyika,,nikavumilia kwa dkk kama 10 hivi huku hali ya tumbo langu ikiendelea kuimarika mdogo mdogo,,mara tena hee!,,si ukabana ushuzi mwingine mangi?,,nikaona msinichezee bana,,niubane niteseke??,,ya ni ni kujitesa na gari hii ni public na wote tumelipa nauli sawa??...nikabofoa ushuzi mwingine maridadi kabisa ila huu wa safari hii ulinuka zaidi ya ule wa mwanzo,,nahisi jamaa wa pembeni yangu alinishtukia kuwa ni mm,baada ya hapo ckujamba tena hadi tunaingia tulipokua tunaenda
 
Huyo mshenzi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sio wewe kweli mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ogopa sana tukiwa form 1 class kimya manzi mmoja alipiga moja Kali nimemsahau sula kabisa ila jina lake bado na likumbuka "SIASA" siwezi sahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hizo la saba kuna Jamaa alikuwa msafwa sasa alikula mahindi ya kuchemsha asubuhi na mayai aisee aliachia kitu mamaeee darasa zima ikawa gumzo ticha akaita back bencher wote wakala bakora za kutoshaaa...
 
Kuna jamaa angu mmoja hivii nikimkumbuka nacheka sana..alikuwa ndo kahamia shuleni kwetu form three..shule ile siku ya kwanza walimu hawaingiagi kihivyo..mwamba akaamua alale kidogo,baada ya muda akaachia kitu matata sana..akaamshwa na vicheko asee,kilochoua ni kwamba ni mgeni halafu siku ya kwanza tuu kazingua..kilochokuja kutuua ni utetezi wake,wana tunakumuuliza jombaa vipi..Kiupole kabisa akajibu athubuhi nilikunywa pepthii..tulimcheka kichizi
 
Mimi siku Fulani nikiwa ofisini nipo mwenyew nilijamba sasa wkt harufu inakuwa Kali mteja namuona anakuja dah nilipata tabu mana nae hakuongea Bali naona anaziba pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…