Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Teacher kaingia chumba cha mtihani kagawa karatasi za kujibia watu waendelee kuandika namba zao kaenda kuleta mtihani
Muhuni mmoja akajisemea kwa sauti ngoja nijambe kabisa nikianza mtihani nisipate shida
Kaachia bonge la mjambo darasa zima watu wanacheka
Mpaka darasa linalofuata walicheka coz wakati wa mtihani kunakuwa kimya sana na madarasa hayakuwa na cycling
Ushuzi wenyewe kama kama kiumbe alafu muhuni hana habari kazua zogo class

Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my MAR-LX1M using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my MAR-LX1M using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…