kuna cku nipo kwenye basi,,yale mabasi kitambo kidogo ya seat za watu wa3 mmoja dirishani,mwingine ktkt na mwingine pemben.barabara ilikua ya vumbi so jamaa wa dirishani kafunga kioo eti anaogopa vumbi,mm ndo nimekaa ktkt yao,bana tumbo si likavuruga ghafla?,,nikavumilia kuubana ushuzi zaidi ya nusu saa,,yan ukija naubana hadi unapotelea ndani kwa ndani huku ukinizidishia gesi kujaa tumboni,,nikaona useng huu,,nilikuja kubomoa ushuz flan hv wa ela yote,,watu walitaftana pale ndani ya gari kwa karibia dkk nzima huku mie nimetulia kimya km cjui kilichofanyika,,nikavumilia kwa dkk kama 10 hivi huku hali ya tumbo langu ikiendelea kuimarika mdogo mdogo,,mara tena hee!,,si ukabana ushuzi mwingine mangi?,,nikaona msinichezee bana,,niubane niteseke??,,ya ni ni kujitesa na gari hii ni public na wote tumelipa nauli sawa??...nikabofoa ushuzi mwingine maridadi kabisa ila huu wa safari hii ulinuka zaidi ya ule wa mwanzo,,nahisi jamaa wa pembeni yangu alinishtukia kuwa ni mm,baada ya hapo ckujamba tena hadi tunaingia tulipokua tunaenda