[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huu Uzi bhnaaNiliwahi jamba katika bus earphones zikiwa masikioni, nilijamba sana,kuja shtuka too late ,mostly of the people walikua wananikodolea macho..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa kala nini au kiwewe cha kuongea na madem warembo!Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Rafiki pole!Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
Sujajua nini alikula ila pozi la kuweka mguu mmoja juu ya kiti cha bar naona ni sababu ya ajari ile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa kala nini au kiwewe cha kuongea na madem warembo!
Pole sana nimesahau kukupa pole ni ajaliAhsante, aibu sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo nadhani hakumaliza kongamanooo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mpaka nikajishitukia mwenyeweHaukujamba wewe kweli mkuu?
Niliwahi jamba katika bus earphones zikiwa masikioni, nilijamba sana,kuja shtuka too late ,mostly of the people walikua wananikodolea macho..
Omba yasikukuteHahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mpaka nikajishitukia mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ulikosa mabega ukashuka moja kwa moja, msiwaachia wakaondoka mngepiga sound hivyo hivyoSujajua nini alikula ila pozi la kuweka mguu mmoja juu ya kiti cha bar naona ni sababu ya ajari ile
Hatarious mzee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]khaaa
Kwamba naee kaaribu hali ya hewaaa now now..[emoji24][emoji16][emoji16]Katika kucheka huko kweli haujatoa kitu bibie?
Hakuna kitu kama hicho hapa dakika 2 dinner hali ya hewa inatakiwa kuwa swali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika kucheka huko kweli haujatoa kitu bibie?
Inaonekana una mdomo mgumu sana kuongea
Jamaa alitoka nduki si kitoto.....mimi ikabidi niearuhusu kwani nao walikuwa hoi kwa kicheko,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ulikosa mabega ukashuka moja kwa moja, msiwaachia wakaondoka mngepiga sound hivyo hivyo
Kwamba naee kaaribu hali ya hewaaa now now..[emoji24][emoji16][emoji16]
Eti jamani, halafu hutegemea na chakula ulichokulaKwamba naee kaaribu hali ya hewaaa now now..[emoji24][emoji16][emoji16]
Umejuaje asee? Nitafutie mmoja mkuu nimechoshwa na sabuni!
Jamaa alitoka nduki si kitoto.....mimi ikabidi niearuhusu kwani nao walikuwa hoi kwa kicheko,
Baada ya ya kujamba jamaa alishtuka kisha akasema; "Haaaaa! nimejamba?" akatimua mbio.