Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Mie nakumbuka nilisha jamba ushuzi zaidi ya bomu la nuclear enzi hizo mpaka mwalimu akaghairi kutoa adhabu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nakumbuka nilisha jamba ushuzi zaidi ya bomu la nuclear enzi hizo mpaka mwalimu akaghairi kutoa adhabu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ilikuwa saa sita baada ya lunch zile shule zetu za porini kule na joto mtindo mmoja lazima unye kama hauko makini na kijambo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani kipeuo tu mpaka ujambe dadekii
 
Najaribu kuwaza tu itokee kwenye kikao cha baraza la Mawaziri pamoja na jiwe halafu mmoja wa mawaziri ajambe either kwa bahati mbaya kimponyoke au kwa kuvimbiwa zile Karanga wanazopewaga na Jiwe, halafu harufu kali yenye iliyo jaa 'Ukakasi' imfikie Jiwe, anaweza akatumbua mtu hapo hapo!
 
Ilikuwa saa sita baada ya lunch zile shule zetu za porini kule na joto mtindo mmoja lazima unye kama hauko makini na kijambo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli kabisa mkuu
 
Wala kujamba ni sawa na chafya.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]jiwe atamtoa Roho mtu mkuu
 
Nisije shindwa hata kumuomba Mungu nikawa nacheka tu kwa ajili ya vijambo
Aya bhana mkuu furaha yangu nikuona kila mtu anafurahi ata kwa yule anaenichukia

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Haaaaa haaaaaa wewe ujewaza nini hapo atakuwa nani kaachia ...... ..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aya bhana mkuu furaha yangu nikuona kila mtu anafurahi ata kwa yule anaenichukia

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwakweli uzi huu umenichekesha sana, kama Joseph alivyomwachia paroko mpaka akakimbia mbele ya kitubio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli uzi huu umenichekesha sana, kama Joseph alivyomwachia paroko mpaka akakimbia mbele ya kitubio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] long live JF is where we dare to talk openly mkuu usikute ni mzee wako yule?
 
Bibi yangu aliachia kitu mbara tata tata tata tata tumekaa kwenye kikao cha familia kila mtu alicheka aisee kuanzia yeye mwenyewe
 
Binafsi nilishusha shuzi mbele ya mtoto, ikawa kila mtu akija anahuhadithia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…