Inatokea sometime hyo kitu. 2016-2017 i loved a girl, nilimpenda kweli alikua ni wa kawaida tu (dark skinned girl). But i real loved her, nilimpenda sana mpka nikajishangaa maana hakua first lover. Lkn nilimpenda kweli, nilijitahid kuonesha kua nampenda na nipo tayari kwa kua nae maishani.
Lkn baadae alianza kunipotezea, alipunguza mawasiliano ghafla, na akinitafuta ujue anahitaji msaada hasa wa kifedha. Nilijitahid kumuuliza nini tatizo ila akadai kua yupo sawa. ila baadae nikaona anataka kunifanya niwe rafiki wa kawaida ingawa ni wapenzi, ikawa hakuna tena kuonana wala kuchati au kuongea na simu na ikitokea ni mda mdgo sana. Iliniuma mno, niliumia sana, ila nikakaza moyo.
Nilicho amua na mm ni kutomtafuta wa la kujibu text zake tena. Baadae nikamblock kabisa.
Aisee karma is real. Nilikuja kukutana nae 2018 alikua tukabadilishana namba akaanza kunitafuta tena kwa speed ya 4G ila nikawa nampotezea tu, akaniletea maelezo mengi kwamva ulikua utoto tu, kwa sasa yupo tayari hata nikitaka kumuoa, baadae akawa ananiomba nimsaidie pesa, nilimsaidua kama mara 2. ila baadae nilistop tena kumsaifia maana ilikua kero.
Niliamua kumpotezea mazima ingawa kwa maana nilikua na mpenzi mwingine na alikya best friend wake.
Sent using
Jamii Forums mobile app