Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

...
54536003443c450f965eaadff0ba908a.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatokea sometime hyo kitu. 2016-2017 i loved a girl, nilimpenda kweli alikua ni wa kawaida tu (dark skinned girl). But i real loved her, nilimpenda sana mpka nikajishangaa maana hakua first lover. Lkn nilimpenda kweli, nilijitahid kuonesha kua nampenda na nipo tayari kwa kua nae maishani.
Lkn baadae alianza kunipotezea, alipunguza mawasiliano ghafla, na akinitafuta ujue anahitaji msaada hasa wa kifedha. Nilijitahid kumuuliza nini tatizo ila akadai kua yupo sawa. ila baadae nikaona anataka kunifanya niwe rafiki wa kawaida ingawa ni wapenzi, ikawa hakuna tena kuonana wala kuchati au kuongea na simu na ikitokea ni mda mdgo sana. Iliniuma mno, niliumia sana, ila nikakaza moyo.
Nilicho amua na mm ni kutomtafuta wa la kujibu text zake tena. Baadae nikamblock kabisa.
Aisee karma is real. Nilikuja kukutana nae 2018 alikua tukabadilishana namba akaanza kunitafuta tena kwa speed ya 4G ila nikawa nampotezea tu, akaniletea maelezo mengi kwamva ulikua utoto tu, kwa sasa yupo tayari hata nikitaka kumuoa, baadae akawa ananiomba nimsaidie pesa, nilimsaidua kama mara 2. ila baadae nilistop tena kumsaifia maana ilikua kero.
Niliamua kumpotezea mazima ingawa kwa maana nilikua na mpenzi mwingine na alikya best friend wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo mkuu huna rafiki hata mmoja?

Mi siwezi kusema uongo those few friends that I've got wako loyal na kama nikishindwana nao basi ntaishi bila rafiki for the rest of my life
Marafiki (au sijui tuwaitaje) nilio nao ni ambao sijaonana nao physically, tumekutana online katika games au social networks with my ghost name. Hao nitapiga nao story sana.

Lakini real life friend nilie nae ni mmoja na kanipiga gap sana kiumri, anaelewa mapungufu yangu kwenye association na binadamu. Basi hanipi shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanashindwa kuelewa unapokuwa kwenye uhusiano sio kwamba mtu wako atakuwa na mood ile ile kila siku lazima kuna siku atabadilika sasa hii kubalila watu wengine huitafsiri tofauti kuwa ameanza kunichoka

Cha msingi ni kweli usiwekeze furaha yako kwa mtu au kitu tujifunze kuepuka attachments

Kuna vitu vingi vya kufanya unaweza kuamua ku fall in love na nature, wewe unakuwa mtu wa kupenda nature tunaona wazungu wanasafiri kutoka ulaya kuja kwenye mbuga zetu kujaribu kuji attach na nature maana nature haiwezi kukuchoka

Vitu kama meditation zinasaidia sana kuliko kuwekeza furaha yako kwa mtu au vitu




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I have him (Jesus) he's my strength.
Aki kweli sijui dawa tutaipata wapi..
Lete idea..maana mwenzio nilipofika. Sijali chochote kuhusu mimi, labda nione wenzangu wanaumia ndio najali
Kama ushazi changa changa vya kutosha basi inatosha .Mambo mengine achana nayo..ukiwa na hela inatosha sanaa..kama huna mzee kazana kuzitafuta ma friend watakuja wenyewe tu.
 
We meet real people na wa maana when we keep up harakati za kujiweka sawa kimaisha.
Kwenye harakati za kutoboa ndio huwa tunakutana na watu wa kuishi nao na kufa pamoja as frnds or lovers etc..We dont have to request or cry for frndships or relationships..
Uhusiano hau ombwi wala kubembelezwa..Kaa kwenye proper channel then u wl meet right companies..TUTAFUTE MAISHAA.
 
Acheni kukumbatia mitazamo ya watu waliojikatia tamaa ya maishaa.
Siwalaumu though nhis hamjakutana na watu wa kuwatoa kwenye hilo tatizo may be
Ivi kuna mtu yanamnoga matatizo?
Uzuri jibu unalo kama hakuna wa kukutoa matatizoni tumaini utalipata wapi? Mungu alituambia tuijaze dunia kusudi tushirikiane, pasipo ushirikiano nafsi lazima ione uchungu na upweke mwingi. Upweke ukiwa mwingi kwa muda mrefu matokeo yake ndio haya kibinadamu unakua na mtazamo hasi kwakua ndivyo vitu ulivyo experience maishani kwa muda mrefu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
si entertain
naongea ninavyovi-experience
haimaanishi kwamba maisha yangu hayaendi kwa ajili hio..
ila nmekubaliana na hali kwamba ndo iko ivyo siumizi kichwa kutaka kubadili ukweli maana haubadiliki
Nakubaliana na ww.My point is,unaonekana kulijua tatizo tayar, then why keep entertaining dat??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom