Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Wivu sina ila roho inauma
Marafiki (au sijui tuwaitaje) nilio nao ni ambao sijaonana nao physically, tumekutana online katika games au social networks with my ghost name. Hao nitapiga nao story sana.Kwa hyo mkuu huna rafiki hata mmoja?
Mi siwezi kusema uongo those few friends that I've got wako loyal na kama nikishindwana nao basi ntaishi bila rafiki for the rest of my life
🙄🙄
Mtumishi ? ,Huyu na mwona kwenye tunda kimasihara utumishi kaanza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bando unayotumia kuumba utumiwe ungekua ushautafuta mwenyewe online.Mzee baba ujue mm naku salute sana ila unaniangusha ...Nitafutie wimbo huo basi.. naona upo vizuri
Kama ushazi changa changa vya kutosha basi inatosha .Mambo mengine achana nayo..ukiwa na hela inatosha sanaa..kama huna mzee kazana kuzitafuta ma friend watakuja wenyewe tu.I have him (Jesus) he's my strength.
Aki kweli sijui dawa tutaipata wapi..
Lete idea..maana mwenzio nilipofika. Sijali chochote kuhusu mimi, labda nione wenzangu wanaumia ndio najali
Ivi kuna mtu yanamnoga matatizo?Acheni kukumbatia mitazamo ya watu waliojikatia tamaa ya maishaa.
Siwalaumu though nhis hamjakutana na watu wa kuwatoa kwenye hilo tatizo may be
Nakubaliana na ww.My point is,unaonekana kulijua tatizo tayar, then why keep entertaining dat??
Ya kale yamepita tazama yamekua mapya !!AU SIOO??😃😃😃kule anakumbushia enzi tu ....ila now days ameokoka