Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana usiendelee ku-force. Ikiwezekana shawishi kama wewe ndio mtu sahihiUpendo ukishapungua uendelew kufosi??
Sometimes anakua anakupa red light kua mwisho umewadia
LoseBinafsi ninahisi nina Phobia ya kuogopa kua attached kwa mtu fulani, Maana najua tu mwanzo atanionyesha wema na upendo ila mwisho ndio atanionyesha upande wake wa shillingi..mmhh
Ila wanasema maisha ni kutake risk, if you can't take you loose a chance
Kho! Kho! Pole sanadah, imenitokea mara mbili, kumpenda mwanamke ki urafiki kupita kiasi, mmoja tumekua marafiki for 9 years , akaanza kubadilika since mwaka jana mwishoni sijamtafuta tena, mwingine tumedumu miezi 4 tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi nadhani maisha kwangu nayachukulia kwa angle tofauti..Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Watu mnabahati zenu .hongeraaKuna dada flan hv ananipend sana ila 2naishi km marafiki,, ishu ni hivi huyu dada akinimiss ndo shobo zinakuwa nyingiii! Yani nikimchunia bila kupokea sim yake af nkakaa kmya hata siku 1 na zaid af siku ikatokea nkapokea shobo linakuwa sio la nchii hii na ahad kibao! Kiufup akinimiss ndo ananipenda ila 2kizoeana tena inakuwa kawaid sana hamna shobo!! Sasa nikitaka papuchi nakuwa kimya siend kwake wala sjib sms wala call mpaka animiss!!Nikishajua amenimiss namtafuta ananipa mwenyw kirahis sana! Ila 2kizoeana tena anakuwa mgumu na anichukulia poa sanaa! Nlichojifunz hapa kuna smtym 2nachukuliana poa cuz 2na assume m2 atakuepo mda wote! Kma sahv nmemchunia sipokei sim zake mpaka valentine ndo ntamtafta nimle maan akinimiss atakuwaga na moto sana!!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Huwa hakuna urafiki wa kudumu...
Watu huwa marafiki kwa sababu mmojawapo au wote kuna vitu/kitu hufaidika toka kwa mwingine...
Kusipokuwa na bitu vya faida na urafiki huishia hapo...
Ni nini hiko mkuu ?
Kiaje mkuu?Da'Vinci kidogo ufanane na Tony-stark kiuandishi