Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,118
Naona mna vitu mnavyopenda vinavyofanana
Kiaje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje mkuu?
Vizuri. Usitegemee furaha kutoka kwa mtu..Niko hp nafight for what I love ila nimebakiza phase 2 tu zikishindikans na hizo basi tena nitaacha aende though something deep inside is telling me that one day atakuja kunitafuta nikiwa sipo kabisaa sababu ninajijua....sababu ss hv bado ni kitu roho inapenda acha nimpe efforts zangu muda hizo chapter 2 zikipita hamna mafanikio nitaweka tick kua sio fungu langu[emoji847]
Heheh mkwe mimi sina cha kukupa wala kuchukua kwako...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Naomba uwe rafiki yangu mkwe.
[emoji125][emoji125][emoji125]
Sio ishu ya kulaumu wanadamu hahaha...Ila wanadamu sisi sijui tupoje..Mungu atusaidie tu! Hivi huwezi kua na mtu bila kutegemea something in return?
Mimi nilijua Pesa au wanawake ndio vitu vinaweza vunja urafiki kwa watu kumbe sio.
Mimi nitashauri mwanaume kupambana kutafuta anavyovipenda ila sio kupambana kumtafuta mwanamke anayempenda.Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Kuna watu wameishi na marafiki mda mrefu. Kila kitu wanafanya pamoja, mishe za pesa wanapiga pamoja, labda demu flani wanasaidiana kumtafuta mpaka mmoja anampata. Nk.Mimi nitashauri mwanaume kupambana kutafuta anavyovipenda ila sio kupambana kumtafuta mwanamke anayempenda.
Mwanamke unayempenda hawezi kukupa furaha hata siku moja. Anayekupenda ndiye atakupa furaha.
Mtoa uzi nawe uzi wako una walakini...sasa umn'gan'ganie rafiki wa kiume mwanaume wa nini???
No! ananipenda kidoooogooo sana kwa mbaaalii I can feel it, na muda mchache anaonigawia najikuta malkia ndani ya kasri hii hali ndio inanipa mang’amung’amu ndoto za mchana na usingizi kupaa usiku I’m so attached to what I feel in his presence, rafiki yangu amekuwa muziki, muziki wa kutuliza nafsi. Naikanya roho haitaki, naikumbusha kila nisiloona lafaa imegoma, sina ujanja namlilia Yesu anitoe hapa.
Oouh...labda kwasababu sijawahi kufikiria kuwa na rafiki wa kiume wa namna hiyo...wa kutafuta demu pamoja na tunakuwa attached kiasi cha kushindwa kumpoteza...naona kama huu ni umama.Kuna watu wameishi na marafiki mda mrefu. Kila kitu wanafanya pamoja, mishe za pesa wanapiga pamoja, labda demu flani wanasaidiana kumtafuta mpaka mmoja anampata. Nk.
Sasa pale urafiki unapopungua yule aliye attached sana anaanza kuwaza life litasongaje maana ashazoea kupiga misele wanapiga pamoja
Ajishushae hupandishwa mkuu..maandiko husema hvo.No matter what you are going through don’t do this for yourself, self judgement is so poisonous, si ndio inapelekea self rejection, guilty conscious, self criticism ??
Jiambie you deserve better lakini si kujishusha hivi.
Tema mate chini mkwe. Unachukua binti yangu nami nachukua zaidi na zaidi.Heheh mkwe mimi sina cha kukupa wala kuchukua kwako...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Namm naomba please uwe my friend
[emoji122][emoji122]Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.