Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Watu wametendwa mpk sheeeeda...
Tukianzisha dini ya walioumia itakua moooooto

*Kihalisia ni kuwa lazma yupo mtu ambaye lazma ilikua mpendane na dunia ifahamu*


Yaaani unapenda mpk huelewi
Ila likipta pepo lazma uje na lugha ya kutetea nafsi
Zipo nyingi sana....

Nliwahi kuwa na mahuasiano ila nlinyooshwa vizuuuri
Ss hv niko kama waaamini wengi humu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mahusiano mazuri yapo
Ila watu wabovu ni wengi kwa jinsi tofauti

Pendaneni,msitafute sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pa kunyooshwa 😀😀😀
 
Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki

nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki

mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui

yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha

kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine

akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi

kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi

mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote

watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana

ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile

ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
 
Mimi sijui ila Nadhani maybe sijapenda au nimeukomaza moyo wangu kwa mitazamo ya kua mpweke pweke.
Mfano..
Hua najisemea I'm useless one, nobody needs me! So kwa mentally hii hata mpenzi akiniacha najua tu I'm no tdestined to he loved.
Huyu ni mimi kabisa hata marafiki zangu ni walewale wachache nliosoma nao primary na secondary naogopa sana kuwa attached na mtu nikiona ananizoea najitahid sana kumuepuka
 
Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.

Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Yeah, it sounds logic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wimbo ambao sijawahi kuukosa kwenye playlist yangu tangu utoke..

And people come and go like seasons,
They don't need a reason, so i've learned to let go.
Cant regret yesterday tomorrow is a new day, and i know.
I'm not perfect at all, i stumble i fall cause life is crazy.
So i gotta take it easy, yeah you know.

I'm a free soul, free soul,



Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafutie wimbo huo basi.. naona upo vizuri
 
My friend we need jesus!!!!
mwisho wa siku nasemaga samething, "Bwana weeh nobody needs me! mimi sina jipya kwanza atakaaje na mimi bora basi ameamua kuniacha, maana sina cha ku-offer
Hivi tukoje[emoji23] tutafute dawa haya sio maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
I have him (Jesus) he's my strength.
Aki kweli sijui dawa tutaipata wapi..
Lete idea..maana mwenzio nilipofika. Sijali chochote kuhusu mimi, labda nione wenzangu wanaumia ndio najali
 
Back
Top Bottom