Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Binafsi huwa sina wa kuitwa Best Friend Forever wa kusema sijui huyu ni mwanangu haswaa! Aliwahi kutokea mmoja huyo ingawa haikuwa kiviile na yeye ni sababu tumekulia mtaa mmoja, shule tumesoma darasa moja shule ya msingi akaja kuanza date na dem wangu. Iliniuma, niliumia nilisononeka sana kuwapoteza wote wawili nikakaa sawa, baada ya huyo sinaga rafiki wa karibu hivyo na sijawahi kujihisi mpweke wala kujuta.
 
Kwa hyo mkuu huna rafiki hata mmoja?

Mi siwezi kusema uongo those few friends that I've got wako loyal na kama nikishindwana nao basi ntaishi bila rafiki for the rest of my life
Hongera kwa kua na rafiki. Mie kwa sasa sina labda watu tunaokua pamoja kwenye mambo ya kila siku.. sio muongeaji kiivo
 
Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.

True say

I have one friend ambaye ilifika kipindi niliona kabadilika completely yaani hatumatch na ilifika hatua ya kusema BHASI and he was okey with it...

Nilipokaa chini na kufikiria nikaona NAH. watu wanabadilika kwa sababu fulani na pengine sio kutokana na spot tuliyonayo katika maisha yao ila situations zao so, nikaamua kujishusha..

After that nikajua tatizo lilikuwa nje ya uwezo wake na tunakaribia 10 years now. We are no longer friends, we are broz. Sometimes tunaona ile decision ya 8 yrs back ingetukosesha mengi coz now tunajionea..

so if it worth it, fight for it.. if its not, dont waste your time, just move on
 
Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.

Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
💪💪💪
 
Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.

Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Nakubaliana na ww katika kupambana Ila sio kwenye mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada flan hv ananipend sana ila 2naishi km marafiki,, ishu ni hivi huyu dada akinimiss ndo shobo zinakuwa nyingiii! Yani nikimchunia bila kupokea sim yake af nkakaa kmya hata siku 1 na zaid af siku ikatokea nkapokea shobo linakuwa sio la nchii hii na ahad kibao! Kiufup akinimiss ndo ananipenda ila 2kizoeana tena inakuwa kawaid sana hamna shobo!! Sasa nikitaka papuchi nakuwa kimya siend kwake wala sjib sms wala call mpaka animiss!!Nikishajua amenimiss namtafuta ananipa mwenyw kirahis sana! Ila 2kizoeana tena anakuwa mgumu na anichukulia poa sanaa! Nlichojifunz hapa kuna smtym 2nachukuliana poa cuz 2na assume m2 atakuepo mda wote! Kma sahv nmemchunia sipokei sim zake mpaka valentine ndo ntamtafta nimle maan akinimiss atakuwaga na moto sana!!!
Kuna ukweli katika hili
 
usiogope dude watu hatufanani tambua hilo kwanza true love zipo kabisa usiogope kuwa baadaye atabadilika na atakuonesha mabaya huwezi kumbadilisha shetani kuwa malaika atakudanganya mwanzoni lakini mwishoni utamuona tu.

ushauli wangu usije ukajitengenezea mfumo wa kuplease kila mtu maana utaumia kila siku tu na hiyo hofu ndio itazidi mara dufu hataki muache aende utapata mwengine mbeleni huko.

kabisa brother...
 
Back
Top Bottom