Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,339
- 3,319
My dear mtoa post
Huyo alisema kuhusu subconscious mind amenigusa ku moyo mpk chozi limetoka Mana Niko katika Hali ya kutafuta furaha na Aman moyon.
Tatizo langu ni kua nilipo Anza kutafuta rafiki wa kweli ktka uanafunzi huu nilionao sasa nikapata nikaweka Iman kua atakua na me Kila mda ni mwana wangu Sana tunashare vingi ,tunasoma wote ,tunasema Iman kua tutafanya wote kazi moja na vengine vingi Kama marafiki
Nalimtafuta yye Mana nallikua na msongo wa mawazo kukataliwa kimahusiano na Mikasa mingi ya maisha .
Ila sasa yanayo nikuta ni makubwa Mana najikuta me ndyo naweka huo uwepo sasa wa urafiki sio Kama zaman kisa jamaa kapata demu ambaye anampenda Sana.
Mara nyingi najikuta mpweke Sina wa kusema nae niliyo nayo basi nabaki naongea mwenyew tu Sina Hata demu Kama rafiki yangu kusema atanipa furaha
Humu mko mnaojua namna nitapona na hili tatizo [emoji24][emoji24] [emoji24] Mana napenda marafiki Ila marafiki ni wakunipa furah mwanzon tu
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Ngoja kwanza nilie mimi [emoji24][emoji24][emoji24] Mana mtoa mada kanigusa kwenye huzun.
Naombeni ushauri wenu wakuu[emoji17][emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app