Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hahahaha wewe mbona ni kama mimi tu yaani mimi sijawahi hisi napendwa na mtu japo kuna watu baki huwa wanasema eti wananipenda ila si unajua moyo wa mtu kichaka
Hauwezi jua kama mtu kamaanisha au la hivyo hata mie mtu baki akiniambia eti ananipenda au amenimiss huwa namuitikia tu lakini moyoni nashituka na najiuliza anipende au animiss kwa kipi hasa nilichomfanyia au kwa sababu gani labda
Japo mie ninaweza nikampenda mtu from nowhere sababu ya kitu kidogo tu hata kama simjui vizuri na mimi nikimpenda mtu huwa sina tabia ya kutaka eti naye arudishe ule upendo kama nilionao mimi kwake yaani sinaga expectations hizo
Unasubiri nini kwenda JWTZ ndugu yangu mimi huko kunaniita na maisha kama hayo nahisi ndiyo maisha niliyoyachagua na ndiyo niliyopangiwa kuwa nayo hadi nakufa
Sent using Jamii Forums mobile app

sasa si bora wewe unapendwa na hao watu baki.
mimi sijawahi kuhisi napendwa hata mtu akinitumia [emoji173] nashtuka ..
nmesahau last time nmependwa lini[emoji22].. nashangaa kwanini mzee hataki kunipeleka Jwtz nikaishi maisha yasiyo na upendo wala urafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app