Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa unachosema, ata mimi huwa napenda sn maneno haya ili upendwe kwanza Jipende ww mwnyw lkn ukimtanguliza kumpenda mwenzio kwanza ww mwnyw hujijali aisee utateseka sana....ningependa kuchangia kitu apa.
Unajua siku zote ili uheshimiwe na watu wa rika tofauti lazima nawe ujiheshimu kwamaana usipo jheshimu sahau kuheshimiwa...ilo wote twalifahamu
Sasa apply hii ktk mapenzi...ili upendwe lazima kwanza ujipende ww mwenyewe..
Usijitese ili upendwe bali jipende na ujithamini ili upendwe na uthaminiwe.
Ayo tu maneno machache yenye uzito.
Ni kweli kabisa unachokiongea. Jipende mwnyw kwanza.Ukiishi kwa kuitambua thamani yako na ukaipa nafasi Yake itawale maishani...ama hakika hakuna mtu ambaye anaweza kumusumbua maishani.....kanuni kubwa ya kwanza ya mahusiano ya kupasa ujipende wewe kwanza ..kisha uwapende na kuwahurumia wale wote wanaokupenda.....endapo mtu unayempenda atageuka kuwa haonyeshi kufungamana na wewe katika upendo basi rejea katika kanuni ya kwanza ambayo nikujipenda mwenyewe......ukijipenda mwenyewe na kujipa thamani hauto thubutu kumkaribisha mtu yeyote yule akubaribie maisha yako iwe kwakucheza na hisia zako ama maisha yako kwaujumla
Tulishaliongelea hili my dearAhsante kushukuru
Natamani kua attached kwako ila naogopa nitateseka
Mzee wangu ni Mwanajeshi mstaafu hataki kusikia hizo ratiba.
lakini mimi naona bora niwe huko sioni faida ya kukaa uraiani ambako si enjoy maisha kama wengine bora niwe kazini24 hrs
upendo wa kweli unauona kabisa kwamba hapa napendwa... naonaga tu upendo wa kifafa ambao si hesabu kama upendo, sasahivi hata huo upendo wa kifafa siuoni[emoji22]...
Kweli huwezi kukimbia Destiny yako, haijalishi unaenda wapi inakufata kama mkia inakuondolea kila kisicho chako haijalishi unakihitaji kiasi gani....!! Mwisho wa siku happiness is the key of life
Sent using Jamii Forums mobile app
This will always be the best of the best thread ever!Pole sana kijana.. Never beg for friendship, never beg to be loved. Things that are belong to you will come and stay. Hizo ndio falsafa zangu!
Inagarimu muda mrefu sana kufahamu hilo.Daah umeandika point moja kubwa mno hadi nimejikuta nimetafakari kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Peoples you love will change you..things you have learned will guid you.Inagarimu muda mrefu sana kufahamu hilo.
Pale siku umekaa chini unajiuliza kwanini vitu/watu fulani navipenda vina disappear hata nikijaribu kuving'ang'ania napoteza vitu vingi kila wakati naanza moja pale pale kwenye upweke,ndio unagundua kuwa ;
no matter how hard i try, Every turn I take, every trail I track,Every path I make, every road leads back
To the place I know, where I can not go, where I long to be ( by moana)
utagundua wewe ni mtu mpweke usipoyakubali maisha yako furaha yako ikajitengeneza ndani yako, ukaishi kwa kujitegemea. utaishi maisha mapweke mara100 zaidi ya upweke ulionao.
Sent using Jamii Forums mobile app
naam mkuu ...ndio hivyoNi kweli kabisa unachokiongea. Jipende mwnyw kwanza.
nime kufananisha na mtu fulani hivi...alikuwa anapenda kutumia avatar kama yakoNi kweli kabisa unachokiongea. Jipende mwnyw kwanza.