Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

...ningependa kuchangia kitu apa.

Unajua siku zote ili uheshimiwe na watu wa rika tofauti lazima nawe ujiheshimu kwamaana usipo jheshimu sahau kuheshimiwa...ilo wote twalifahamu

Sasa apply hii ktk mapenzi...ili upendwe lazima kwanza ujipende ww mwenyewe..
Usijitese ili upendwe bali jipende na ujithamini ili upendwe na uthaminiwe.

Ayo tu maneno machache yenye uzito.
 
Hujasoma imeandikwa, binti atamuacha baba na mama yake naye ataambatana na mumewe...

Alipokuwa kwako ndio alikuwa bintiyo, sasa ni mzima taa usiku kwa mkweo...[emoji16]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Ukiishi kwa kuitambua thamani yako na ukaipa nafasi Yake itawale maishani...ama hakika hakuna mtu ambaye anaweza kumusumbua maishani.....kanuni kubwa ya kwanza ya mahusiano ya kupasa ujipende wewe kwanza ..kisha uwapende na kuwahurumia wale wote wanaokupenda.....endapo mtu unayempenda atageuka kuwa haonyeshi kufungamana na wewe katika upendo basi rejea katika kanuni ya kwanza ambayo nikujipenda mwenyewe......ukijipenda mwenyewe na kujipa thamani hauto thubutu kumkaribisha mtu yeyote yule akubaribie maisha yako iwe kwakucheza na hisia zako ama maisha yako kwaujumla
 
Binafsi ninahisi nina Phobia ya kuogopa kua attached kwa mtu fulani, Maana najua tu mwanzo atanionyesha wema na upendo ila mwisho ndio atanionyesha upande wake wa shillingi..mmhh
Ila wanasema maisha ni kutake risk, if you can't take you loose a chance
usiogope dude watu hatufanani tambua hilo kwanza true love zipo kabisa usiogope kuwa baadaye atabadilika na atakuonesha mabaya huwezi kumbadilisha shetani kuwa malaika atakudanganya mwanzoni lakini mwishoni utamuona tu.

ushauli wangu usije ukajitengenezea mfumo wa kuplease kila mtu maana utaumia kila siku tu na hiyo hofu ndio itazidi mara dufu hataki muache aende utapata mwengine mbeleni huko.
 
Back
Top Bottom