Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ww ni Introverts.. ndio maana unakua na hisia sana
Hongera kwa kua na rafiki. Mie kwa sasa sina labda watu tunaokua pamoja kwenye mambo ya kila siku.. sio muongeaji kiivoKwa hyo mkuu huna rafiki hata mmoja?
Mi siwezi kusema uongo those few friends that I've got wako loyal na kama nikishindwana nao basi ntaishi bila rafiki for the rest of my life
Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.
Mapendo......Poa kiongozi.
Milele Amina kiongozi
💪💪💪Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Nakubaliana na ww katika kupambana Ila sio kwenye mapenziMaisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kingereza hiki cha st kayumba mkuu.. nisamehe tu
Kuna ukweli katika hiliKuna dada flan hv ananipend sana ila 2naishi km marafiki,, ishu ni hivi huyu dada akinimiss ndo shobo zinakuwa nyingiii! Yani nikimchunia bila kupokea sim yake af nkakaa kmya hata siku 1 na zaid af siku ikatokea nkapokea shobo linakuwa sio la nchii hii na ahad kibao! Kiufup akinimiss ndo ananipenda ila 2kizoeana tena inakuwa kawaid sana hamna shobo!! Sasa nikitaka papuchi nakuwa kimya siend kwake wala sjib sms wala call mpaka animiss!!Nikishajua amenimiss namtafuta ananipa mwenyw kirahis sana! Ila 2kizoeana tena anakuwa mgumu na anichukulia poa sanaa! Nlichojifunz hapa kuna smtym 2nachukuliana poa cuz 2na assume m2 atakuepo mda wote! Kma sahv nmemchunia sipokei sim zake mpaka valentine ndo ntamtafta nimle maan akinimiss atakuwaga na moto sana!!!
Pole sana kijana.. Never beg for friendship, never beg to be loved. Things that are belong to you will come and stay. Hizo ndio falsafa zangu!
usiogope dude watu hatufanani tambua hilo kwanza true love zipo kabisa usiogope kuwa baadaye atabadilika na atakuonesha mabaya huwezi kumbadilisha shetani kuwa malaika atakudanganya mwanzoni lakini mwishoni utamuona tu.
ushauli wangu usije ukajitengenezea mfumo wa kuplease kila mtu maana utaumia kila siku tu na hiyo hofu ndio itazidi mara dufu hataki muache aende utapata mwengine mbeleni huko.
Hujalazimishwa wala kuitwa uje usome..Hii mada umeifanya kuwa ndeeefu ilihali ingekuwa fupi ingefaa zaidi..story ndefu iliyo tamu ni ya kula tunda kimasihara tu[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app