Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

''𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢, 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐳𝐚𝐤𝐞 𝐮𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚𝐤𝐞,

𝐤𝐮𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐧𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚𝐚𝐚,,,,,"

𝐀𝐟𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐟𝐭 𝐃𝐨𝐠𝐨 𝐃𝐢𝐭𝐭𝐨

𝐭𝐡𝐞 𝐬𝐚𝐦𝐞 𝐚𝐩𝐩𝐥𝐢𝐞𝐝 𝐭𝐨 𝐧𝐨𝐫𝐦𝐚𝐥 𝐟𝐫𝐢𝐞𝐧𝐝𝐬
 
mkuu uzi mzr sn..mie ktk contacts zangu nina namba 326..ukiondoa wazaz wangu na 1 best friend...hao 300 wengine hawanikumbuki mpk niwaanze mie..so nitaitumia hiyo idea yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu namba 300 ni namba nyingi sana mimi zipo 32 tu. Reasons ni kua hua siwezi kuomba nawasiliano na mtu na nikiwa Sad hasira namalizia kwenye namba za watu. Nafuta vyote

#Thanks for compliments
 
Wanasema kama unampenda mtu you have to set her free. Ila mm naona kama umempenda mtu inarakuwa umpende iwa syaru nna mapenzi yako yote since tunaishi muda mfupi
 
Ukitaka kufeli kwenye maisha basi anza kulazimisha watu wakupende. Binafsi huwa najitahidi kuwa positive kwa mtu yeyote bila kutegemea chochote. Lkn pia ukionesha hunihitaji na mimi huwa sipotezi muda nakwambia kwa heri na karibu tena Duniani kuna watu zaidi ya billion 7.8
 
umesema sahihi
 
ndivyo ilivyo sijui kwa nini watu wema hupitia kwenye hizi hali kwa kweli
 
Mimi sijui ila Nadhani maybe sijapenda au nimeukomaza moyo wangu kwa mitazamo ya kua mpweke pweke.
Mfano..
Hua najisemea I'm useless one, nobody needs me! So kwa mentally hii hata mpenzi akiniacha najua tu I'm no tdestined to he loved.
Theres a difference kati ya i am useless na heri niwe mwenyewe kwa sasa

fanyia kazi hio hali ya kujiona ur useless jithamini
 
Are u really useless?

are u really a nobody?.
In default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz it’s a law of nature and you can’t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.

Hata mtu awe gaidi kivipi au katili kiasi gani kunakuaga yupo mtu mmoja au zaidi ambao anawapenda na kuwajali, kwasababu ili maisha ya mtu mmoja mmoja yalete maana halisi ya kuitwa maisha lazima wawepo watu ambao anawajali na kuwapenda ndio maana ili uitwe mwanume kamili lazima uwe na familia ambayo unaipenda na kuihudumia… mwanaume kamili anajiona na kuuFeel uanaume wake pale anapoweza kuhudumia nakujali familia yake na ndugu zake. Why this? Its just because everyone need to belong to someone, everyone need to have someone who she/he care for.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…