BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Bado tu hujapona?[emoji23]Kama unaweza bora tu uwe mtu mbaya kuliko kua mwema hakuna raha ni mateso tu
Na ni maumivu na mateso makuu pale tunapokosa upendo. Hasa wa watu ambao tunawapenda. Tunajiona tusio na thamani duniani.In default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz it’s a law of nature and you can’t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.
Hata mtu awe gaidi kivipi au katili kiasi gani kunakuaga yupo mtu mmoja au zaidi ambao anawapenda na kuwajali, kwasababu ili maisha ya mtu mmoja mmoja yalete maana halisi ya kuitwa maisha lazima wawepo watu ambao anawajali na kuwapenda ndio maana ili uitwe mwanume kamili lazima uwe na familia ambayo unaipenda na kuihudumia… mwanaume kamili anajiona na kuuFeel uanaume wake pale anapoweza kuhudumia nakujali familia yake na ndugu zake. Why this? Its just because everyone need to belong to someone, everyone need to have someone who she/he care for.
Kuna point of no return, umempenda mtu husikii wala huoni hapo habari za fate wala nini hutakumbuka, utabaki kuvumilia kushikilia senyenge maana ndiko ilipofungwa furaha yako, japo unaumia lakini huwezi kuachia maumivu hayo ambayo yanautamu ndani yake yakuponyeke.Najua I don’t relly deserve you coz you outstanding and outrun me in everything, you deserve something fancy and better..lakini bado sijajiandaa kupisha mtawala mwingine, Yote hayo ni kwakua you found me in broken pathway and you picked up my pieces, ukanionyesha mwanga na tumaini la maisha kwa pendo lako. Kwa muda wote ule uliokua namii na furaha yoote uliyoniletea mpaka kufanya ndoto zangu za kua mtu Fulani better zitimie ni kwasababu ya pendo lako. I’m not fancy guy but I’m good lad with kinda heartedNa ni maumivu na mateso makuu pale tunapokosa upendo. Hasa wa watu ambao tunawapenda. Tunajiona tusio na thamani duniani.
Kupona majeraha haya inahitaji ujasiri na uvumilivu uliotukuka. Mungu atusaidie.
Ata mimi nlikua kama wewe ila Jf imenipika saivi hakuna kiumbe yeyote wa kunibabaishaMkuu acha tu things still pretty miserable out here, it appears like some peoples like Us/I Our fate has been sealed not to ever know how it's like to belong to someone[emoji22]
Huu ujumbe ndo ulimtumia auKuna point of no return, umempenda mtu husikii wala huoni hapo habari za fate wala nini hutakumbuka, utabaki kuvumilia kushikilia senyenge maana ndiko ilipofungwa furaha yako, japo unaumia lakini huwezi kuachia maumivu hayo ambayo yanautamu ndani yake yakuponyeke.Najua I don’t relly deserve you coz you outstanding and outrun me in everything, you deserve something fancy and better..lakini bado sijajiandaa kupisha mtawala mwingine, Yote hayo ni kwakua you found me in broken pathway and you picked up my pieces, ukanionyesha mwanga na tumaini la maisha kwa pendo lako. Kwa muda wote ule uliokua namii na furaha yoote uliyoniletea mpaka kufanya ndoto zangu za kua mtu Fulani better zitimie ni kwasababu ya pendo lako. I’m not fancy guy but I’m good lad with kinda hearted
Hongera kua imara Natumaini uzi wangu huu ume Trigger courage ya watu wengi to handle their unstable emotions.Ata mimi nlikua kama wewe ila Jf imenipika saivi hakuna kiumbe yeyote wa kunibabaisha
najua mifumo yote
Sasa wewe sijui mwenzetu ni kujiendekeza au lah
[emoji3]Hata mimi nikiri huu ni moja ya uzi uliosaidia sana kunijenga wakati nataka kujitoa kwenye kifungo flaniHongera kua imara Natumaini uzi wangu huu ume Trigger courage ya watu wengi to handle their unstable emotions.
Sio kwamba majiendekeza mkuu... I know how things are.
Love is fate (to me) not a destiny, inawezekana kuna sehemu nilikosea rohoni au there's no my seat in the table of love.
Imagine unakua discarded na mtu for being kind...eti you're too kind I don't deserve you. Will gonna hurt you for that
Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford.[emoji3]Hata mimi nikiri huu ni moja ya uzi uliosaidia sana kunijenga wakati nataka kujitoa kwenye kifungo flani
Sasa inakuaje mwandishi bado anashindwa kufuata kile ambacho sisi kilitusaidia kutoka kwake.
Mkuu kwa hilo jambo ni zuri keep it up don't turn them down. You're a sanctuary of broken souls.Kuanzia mwaka juzi 2019 nimekuwa nakutana na wadada wajawazito tu alafu sasa wametelekezwa na waliowapa ujauzito, ajabu kila nikigundua ni wajawazito nakuwa mzito kuwapotezea kazi yangu imekuwa kutoa faraja tu hadi mdada anajifungua na mimi naendelea na mambo yangu.
Mwanzo niliona mbona hii hali sio, imagine hadi sasa ni kama wadada 7 sitaki mahusiano nao japo mwanzo ndio kilichonikutanisha nao.
Ngoja niendelee tu kuwa mtoa faraja, labda ndio 'Life Purpose' yangu
That is your assignmentHow can you make your mind to be strong than feeling??
Mkuu kwa hilo jambo ni zuri keep it up don't turn them down. You're a sanctuary of broken souls.
Endelea hivo hivo kua tumaini la waliokata tamaa
Kaandika kitoto sana [emoji16]Kwanini umeuliza hivo mkuu[emoji28]