Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

"Kawaida washauri wengi wazuri hua ni wale wenye matatizo tena mara nyingi hua ya aina ileile ambayo yanawasumbua na wameshindwa kuyatatua"
 
Ebu kama unaweza utuambie nini hasa ambacho kimekutokea kilichoifufua huzuni yako tuone tunakusaidiaje.

Maana mimi kilichonisaidia kila changamoto ilokua inanitatiza nliomba humu ushauri hadi mwisho wa siku nikaachana nae kwa ushindi kabisa.
 

Mkuu upo kama mimi tu....it’s so sad
 
Niliwahi kulazimisha mpenzi aendelee kubaki ktk maisha yangu kitu ambacho sikuwahi kuwaza kama nitakuja kufanya,tulipendana na nilimpenda sana at the end alilazimisha tuvunje relationship,umbali wa mimi na yeye ulichangia lakini hiyo haikua sababu kubwa, nilifosi lakini haikuwezekana, niliamua kudelete kila kitu chake kuanzia contact mpaka picha hiyo ilikuwa rahisi ila kumtoa kichwani ilichukua zaidi ya miezi mitatu, nilimsahau kabisa, alikuja kunitafuta baada ya mwaka mmoja akidai kuwa amenikumbuka sana, sikuwa na sababu ya kutojibu sms zake wala simu ila ile hali ya kumchangamkia kama zamani ilipotea kabisa.,
 
Haaaa ndo wewe mwenyewe enjoyna huyo jamaa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…