Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kwahiyo nimfanye mchepuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa ndio wako ndio maana uliweza kumsamehe mara dufu alipokofmsea. Huyo unayemwita Mume He's your disguise
 
Now I can understand why you made that decision

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa tatizo lako limekaa kiroho zaidi hivyo nadhani uzi huu utakupa mwongozo, ukiwa na swali zaidi utaniTag nije nijibu
 
Nilikuwa msomaji tu wa maoni ya wadau kwenye Uzi huu.
Ngoja na Mimi ni subscribe kabisa na nihusike kwenye conversation ya uzi huu.
Say welcome to me mates
Okay, sorry for the late response.
Karibu kwenye mjadala wetu Motion inasema je Ulishawahi kupigwa na kitu kizito?? How did you cope with it??
 
I wanna be the one who you believe
In your heart is sent from, sent from heaven
There's a piece of me who leaves when you gone
Because you're sent from heaven
Where are you my Heaven Sent😴😴😴
 
Baba kua introvert Ni umebarikiwa na Mungu, tumetofautiana katika maisha. Issue Ni kua huyo uliekua nae hakukuthamini. Tafuta binti mwingine awe mchangamfu kidgo lkn awe na heshima, show love her and she will be yours.
Nimesema mchangamfu kidgo coz atakusaidia baadhi ya Mambo ya jamii. Ambayo we Kama introvert huwezi kuvifanya kikamilifu. Mfano Mambo ya mikusanyiko, vikao vya mtaa n.k.
 
Naona umeamua kua love connector mkuu
We una lako jambo sio bure[emoji38][emoji38][emoji38]jokes
I practice every day
To find some clever lines to say
To make the meaning come through
But then I think I'll wait
Until the evening gets late
And I'm alone with you

The time is right, your perfume fills my head
The stars get red, and, oh, the night's so blue
And then I go and spoil it all
By saying somethin' stupid like,
"I love you"

I love you

I love you
 
Mwili wa mwanadamu ndani yake kuna roho wa Mungu ambayo ni ile pumzi ya uhai aliyokupatia so ile ndio hua kama taa yako inayowaka ndani ndio maana mwili wako hua unaitwa ni Hekalu la Mungu. Unaporuhusu kufanya mapenzi ili kutatua shida zako basi unakua umetia doa maisha yako, doa hilo hua halitoki kirahisi. Hatima ya maisha yako ipo mkononi mwako, matendo yao ya sasa ndio hutafsiri maisha yako ya baadae. Katika maisha kuna nguvu ya asili Inayosukuma mambo Postive katika maisha yako na kuna nguvu ya asili ambayo inasukuma mambo Negative maishani mwako…Watu wanaoamini katika mungu wanaita nguvu hiyo Postive Kua ni Mungu na hiyo ya Negative wanaita Shetani, watu wa Falsafa na Saikolojia tunaita the power of Nature and

Heshimu utu wako✌️
Vinchii
 
Hili swali nimeulizwa na mpenzi wangu juzi usiku nikiwa kwa rafiki yangu wa kike. Nilimwambia nitamjibu tukionana, ila sina mpango wowote
 
Mwili wa mwanadamu ndani yake kuna roho wa Mungu ambayo ni ile pumzi ya uhai aliyokupatia so ile ndio hua kama taa yako inayowaka ndani ndio maana mwili wako hua unaitwa ni Hekalu la Mungu. Unaporuhusu kufanya mapenzi ili kutatua shida zako basi unakua umetia doa maisha yako, doa hilo hua halitoki kirahisi. Hatima ya maisha yako ipo mkononi mwako, matendo yao ya sasa ndio hutafsiri maisha yako ya baadae. Katika maisha kuna nguvu ya asili Inayosukuma mambo Postive katika maisha yako na kuna nguvu ya asili ambayo inasukuma mambo Negative maishani mwako…Watu wanaoamini katika mungu wanaita nguvu hiyo Postive Kua ni Mungu na hiyo ya Negative wanaita Shetani, watu wa Falsafa na Saikolojia tunaita the power of Nature and Subconcious Mind.

Pindi unapoumbwa unakua upo clean kama karatasi jeupee maisha yako yankua yamejaa nuru na ile nguvu Postive au Nature inakua inasukuma mambo positive pekee kuja maishani mwako hivyo maisha yanavyoendelea ndivyo tunazidi kuchafua miili yetu kwa matendo yetu hivyo tunaifanya nature kusukuma mambo negative maishani. Hivyo basi kama HR kakuambia ili akupe kazi inatakiwa umpe penzi basi unakua umeikaribisha nature isukume mambo yaliyo negative maishani mwako..Kwa lugha nyepesi ni kwamba utakua umemkaribisha shetani maishani mwako akuongoze.

Ukishamkaribisha tu kwa kutoa penzi ili upate kazi basi maisha yako yote hutapata kazi mpaka utoe penzi, sio kwenye kazi tu hata kwenye mambo unayokua unataka kupata huduma utakuwa unajikuta mtu aliyetakiwa kukupa huduma anakuomba rushwa ya ngono kwanza. Then utaanza kujiona kua una bahati mbaya/mikosi kwa kuombwa rushwa ya ngono kumbe mwenyewe ulishaharibu mfumo wa maisha yako, umekubali shetani aamue hatima yako kutokana na matendo yako (umeiruhusu Nature iwe inasukua mambo negative maishani). Jitambue!

Mungu alipokuumba alikupa akili nautashi wa kujua mema na mabaya, kakuleta duniani alishapanga mapito yako yote. Wanadamu hatujui hatima yetu aijuae ni muumba lakini hiyo hatima yetu tunaweza kuiharibu au kuifanya iwe hatima njema..Kuharibu au kuijenga itategemeana na matendo yetu na Imani yetu thabiti juu ya muumba. Aliyekuumba (kama waamini katika uumbaji wa Mungu)anakujua! Anajua unashida gani,anajua unahitaji nini,anajua ni muda gani sahihi wa kukupatia …kakuumba yeye hawezi kukutelekeza.

Jali utu wako ✌️
 

[emoji3059][emoji3059][emoji3059]thank you.
 
Touching..Amen
 
Real talk
 
Touching..Amen

Kitu kinachofanya tunashindwa kupata yale yanayofaa tuyapate ni kutokua na Subira! Tunapenda kuwahisha mambo ili tupate yale ambayo tunayataka kwa muda Fulani tunaotaka ila tunasahau kua yatakiwa tupate yale yanayostahili/yatufaoyo kuyapata kwa muda ufaoa. Subira na utii wako ndio ghalama pekee ambayo unatakiwa uilipe kwa Mungu ili upate yale unayostahili kupata. Kama huwezi kusubiri upate yale unayostahili kwa muda unaostahili ila unataka upate yale unayoyataka kwa muda unaoutaka hivyo jua unamkaribisha Shetani maishani mwako maana utakua huna tena subira, tama itakua imejaza moyo wako na shetani ndie anayetoa vitu vya tamaa.

Haijalishi umekaa nyumbani bila ajira, umekaa muda gani bila mume,umekaa muda gani bila mtoto kamwe usiruhusu matatizo yako yakawa Advantage ya kukupata kirahisi, wewe ni wa thamani na mwili wako ni wa thamani ndio maana Mungu kakuamini na kukupa heshima ya kuufanya mwili wako ukamilishe uumbaji. Shida zako na mateso yako yasikufanye uishushe hadhi hiyo uliyopewa kwa kuwaacha mameneja wakutumie kadri wawezavyo. Muda ukifika utapata yote mazuri yaliyoandaliwa ajili yako..Huna haja ya kuwahisha mambo hadi unaamua kugawa penzi ili upate ajira. Jithamini, U wathamani mno!

PS. Natambua binaadamu tumeumbwa na madhaifu na moja ya dhaifu letu/langu ni kukata tamaa pale mambo yanapokua magumu! Lakini nivyema pale unapokata tamaa na kujirudi kwamba hukujiumba wewe, aliyekuumba anakuona na ana kusudi nawe.

Please God understand us bless our family guide us all before we fall to this insanity. It's gonna take the man in Us, to conquer this insanity
-Vinjiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…