T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Simpendi kwa sasa ninampenda mwingine. Yeye nilimtokea last year tulipokutana kwenye event akaniambia ana mpenzi wake yuko mkoani. Nimebembeleza kama mara tatu hivi nikaachana nae, miezi kama sita baadae akaanzisha ukaribu nami ndio nikaingia. Sasa anataka once and for all na siko tayariUnampenda kweli toka ndani yako???
AmenKitu kinachofanya tunashindwa kupata yale yanayofaa tuyapate ni kutokua na Subira! Tunapenda kuwahisha mambo ili tupate yale ambayo tunayataka kwa muda Fulani tunaotaka ila tunasahau kua yatakiwa tupate yale yanayostahili/yatufaoyo kuyapata kwa muda ufaoa. Subira na utii wako ndio ghalama pekee ambayo unatakiwa uilipe kwa Mungu ili upate yale unayostahili kupata. Kama huwezi kusubiri upate yale unayostahili kwa muda unaostahili ila unataka upate yale unayoyataka kwa muda unaoutaka hivyo jua unamkaribisha Shetani maishani mwako maana utakua huna tena subira, tama itakua imejaza moyo wako na shetani ndie anayetoa vitu vya tamaa.
Haijalishi umekaa nyumbani bila ajira, umekaa muda gani bila mume,umekaa muda gani bila mtoto kamwe usiruhusu matatizo yako yakawa Advantage ya kukupata kirahisi, wewe ni wa thamani na mwili wako ni wa thamani ndio maana Mungu kakuamini na kukupa heshima ya kuufanya mwili wako ukamilishe uumbaji. Shida zako na mateso yako yasikufanye uishushe hadhi hiyo uliyopewa kwa kuwaacha mameneja wakutumie kadri wawezavyo. Muda ukifika utapata yote mazuri yaliyoandaliwa ajili yako..Huna haja ya kuwahisha mambo hadi unaamua kugawa penzi ili upate ajira. Jithamini, U wathamani mno!
PS. Natambua binaadamu tumeumbwa na madhaifu na moja ya dhaifu letu/langu ni kukata tamaa pale mambo yanapokua magumu! Lakini nivyema pale unapokata tamaa na kujirudi kwamba hukujiumba wewe, aliyekuumba anakuona na ana kusudi nawe.
Please God understand us bless our family guide us all before we fall to this insanity. It's gonna take the man in Us, to conquer this insanity
-Vinjiii
Japo ulikosea mwanzo kabisa kumtokea usiyempenda sana na ukaja kua nae ukiwa unajua kabisa huna hisia nae za dhati then you have to make things right.Simpendi kwa sasa ninampenda mwingine. Yeye nilimtokea last year tulipokutana kwenye event akaniambia ana mpenzi wake yuko mkoani. Nimebembeleza kama mara tatu hivi nikaachana nae, miezi kama sita baadae akaanzisha ukaribu nami ndio nikaingia. Sasa anataka once and for all na siko tayari
wewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu.Amen
Kweli kabisaaaaaawewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu. Kama unataka kumsaidia mtu saidia then mwache aende sio umtake kimapenzi, hata usipomtaka kimapenzi basi msaada wako usiwe fimbo ya kumchapia. Umnyanyase kiakili na kimwili kisa bila wewe asingepata kazi hiyo. Saidia kisha futa kabisa katika kumbukumbu zako kua uliwahi kusaidia mdada Fulani kupata kazi katika kampuni uliyopo. Hupati faida yoyote ukitangaza kama uliwahi msaidia mtu Fulani.
-Life is full of Surprises and Possibil
Same to me aiseeMimi udhaifu wangu ni samahani, hata unikosee nini ukisema hivo. Nafuta kila kitu coz you feel guilty for what you did to me. Shida ni pale Ke asipojishusha
Wala sio kwamba mnalazimisha kuhusiana it's just We get what we don't deserve. Mwisho mnabaki mwapendana ili liende (life) tu
| Life is full of lots of up and downs And the distance feels further When you're headed for the ground And there is nothing more painful than to let your feelings take you down It's so hard to know the way you feel inside When there's many thoughts and feelings that you hide But you might feel better if you let me walk with you By your side And when you need a shoulder to cry on When you need a friend to rely on When the whole world is gone You won't be alone, cause I'll be there I'll be your shoulder to cry on I'll be there I'll be a friend to rely on All of the times when everything is wrong And you're feeling like There's no use going on You can't give it up I hope you work it out and carry on Side by side, With you till the end I'll always be the one to firmly hold your hand No matter what is said or done Our love will always continue on |
Vp aliyekuoa hana vinasaba vya ex wako? Maana huwa mnasema wanaume ni walewale.*ndugu yangu sio kwa kupenda..penzi kalichezea....ana cheat...anarudi..anacheat anarudi..unasamehe...akienda huko anakutana na asotarajia..wako kimsalahi et anageuza....anaondoka kwa mbwembwe
.anarudi mdgo...
Hakuna mtu anaweza vumilia..its either uende au ubaki*
Tulidate almost 5yrs...
Hakuwah kuwa na mahusiano marefu km hayo..mwenyewe anasema akizidi sana 6month..hapa alikaa..ila ndo umalaya sasa[emoji57].
Penzi la hivyo linaboa..
Bht nzuri nina wangu kanioa nimetulia....