Kuwa katika nafasi za nyadhifa inashauriwa kutendea wengine mema kama ulivyoshauri.wewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu. Kama unataka kumsaidia mtu saidia then mwache aende sio umtake kimapenzi, hata usipomtaka kimapenzi basi msaada wako usiwe fimbo ya kumchapia. Umnyanyase kiakili na kimwili kisa bila wewe asingepata kazi hiyo. Saidia kisha futa kabisa katika kumbukumbu zako kua uliwahi kusaidia mdada Fulani kupata kazi katika kampuni uliyopo. Hupati faida yoyote ukitangaza kama uliwahi msaidia mtu Fulani.
-Life is full of Surprises and Possibil
You are so strange....I make my journey through eternity
With all my love for you, I keep the memory of you inside me
View attachment 2099971
Duuh kweli tumetofautiana. Lakini mkuu uje hakuna Exactly formula ya kumpata mwanamke unayempenda.Kuwa katika nafasi za nyadhifa inashauriwa kutendea wengine mema kama ulivyoshauri.
Lakini kuna hizi rushwa za ngono ni hatari, hauombi unaletewa, inakufuata pamoja na gharama zote za "gesti" na vinywaji, usipokuwa na moyo wa subira, ni rahisi sana kuingia mkenge wa kashifa!
Mara nyingi rushwa ya namna hiyo ikiletwa ukakataa kuipokea, huleta taharuki kwa mtoaji na hujisikia dhalili sana.
Nafasi za kazi ni haki ya applicants wenye sifa zilizotangazwa kama wanazo.
Wakati flani nikiwa katika wadhifa na mamlaka, niliwahi kuletewa rushwa za ngono mara nyingi na zote nilizipangua bila jazba wala lawama.
Watu walioniletea rushwa hizo wengi walikuwa wanazo sifa stahiki hadi nikawa ninashangaa kuwa hii imekaaje!
Kwanza kabla nilikuwa sielewi mtoa rushwa ataanza anzaje kunishawishi, yaani kiaje na kwa namna gani!
Kumbe ni rahisi tu, hasa chanzo kikiwa ni simu!
Natoa mfano wa mtego mmoja wa rushwa nilioupangua.
Zilipotangazwa nafasi za ajira pale hamashauri, sikujua huyo mama alipataje namba zangu za simu pamoja na jina langu kamili kisha akanipigia simu..."mkuu upo wapi?"
Mimi: "nipo nyumbani".
Yeye: "ntakuonaje sasa nnashida".
Mimi: "shida gani, nnaongea na nani kwanza?"
Yeye: akanitajia jina silijui, nikavutiwa kuonana naye kwa utambuzi zaidi, nikampatia appointment.
Huyo mama alikuja kajiandaa kwa rushwa ya ngono pamoja na pesa za gharama ya gesti wazi wazi.
Baada ya kukutana:
Yeye: "mkuu mimi- - - ni mmojawapo wa applicants tulioleta maombi ya kazi leo ofisini kwako".
Yeye: "Dunia ya leo bila kujitoa ninajua hauwezi fanikiwa lolote hata uwe na sifa vipi, hivyo mkuu ninaomba unisaidie kunipitishia maombi yangu na mimi niko radhi kujitoa kwa chochote upendacho kama shukrani ya utangulizi kwa unachoenda kunifanyia".
Rushwa hiyo niliikataa kuipokea lakini nilimsaidia kumpatia nafasi aliyoiomba bila ya masharti yoyote.
Wakati tunaachana alikosa raha na alinywea kabisa akijuta kwa kuhisi angelipoteza nafasi kwa kihere here chake hicho.
Daah inasikitisha sana asee 😢Kuwa katika nafasi za nyadhifa inashauriwa kutendea wengine mema kama ulivyoshauri.

[emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana waalah!Duuh kweli tumetofautiana. Lakini mkuu uje hakuna Exactly formula ya kumpata mwanamke unayempenda.
Lakini mimi binafsi hiyo njia unayotumia wewe mimi siiwezi kabisa! Binafsi napenda mwanamke nitakayekua nae tupendane naturally, yaani upendo wake kwangu na mimi kwake uwe sio wa kufosi. Yaani anipende kwakua ananipenda na sio anipende kwakua mimi nampenda
Mwanamke hata nimpende vipi nikihisi kwamba namlazimishia upendo au nalazimisha mawasiliano nae basi hua najiweka pembeni. Sipendi niwe kero kwa wenzangu, Naamini kwamba mapenzi yanakua matamu zaidi kama kila mtu atampenda mwenzake bila kufosi.. Unconditional Love.
Nipende kwakua unanipenda[emoji45]
ni ngumu sana kwako wewe kuelewekaKwanini wasema hivo mkuu...?
usijali... haina maana sanaKueleweka vipi mkuu??? Sijakuelewa please
Kiasi chake tu niko mpole.[emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana waalah!
Sema nini?
Kwa comment yako hii, unaonekana ni mstaarabu na mpole sana.
Basi mimi niko tofauti kiasi mkuu, najua kweli wanawake wanapenda 'KashKash' toka kwa mwanaume kuanzia wanapofuatwa mpaka wawapo penzini.Ila hawa viumbe lazima ujue kwamba, wao wanastahili kuanza kupendwa ndiyo baada ya kumpenda wewe, ushawishi wako hupelekea kumvutia kukupenda.
Kati yao wapo wanaopenda ubabe na hujisikia raha na salama sana kupatikana na mwanaume mbabe katika mazingira ya vurugu na ubabe wa kutisha!
Uliza wanasaikolojia za mahusiano wanalijua hilo.
Inabidi tujifunze kubalance shobo. Ukiona anazingua unatemana naye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakunifanya ka baraka kwa michelle,you know whom you love, but you do no who loves you
By Fid q.
USINIKUBALI HARAKA ( FID Qft MATONYA).Wakunifanya ka baraka kwa michelle,
tabasamu zaidi ya mfungua mlango wa 5 star hotel
Kukupa moyo ukinifanya niwe na wivu,USINIKUBALI HARAKA ( FID Qft MATONYA).
Naomba uniweke ndani ya chupa..// kwako nifike kabisa..//
mchumba nizuzuke, nife nizikwe na wewe kbs.... mm ni binadam nafahamu sijakamilika....
nitafurahi kama utanimwaga nikija Kwa gia za mkwanja , nitarudi kujipanga ki_underground kama......../