Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Baby don't go
I just want you here
Right by your side
I won't hide my tears
Baby don't go
Waited for so long
I want you so
Come on hold me strong

Giving all the love I feel for you
Couldn't make you change your point of view
You're leavin'
Now I'm sittin' here, wastin' my time
I just don't know what I should do
It's a tragedy for me
To see the dream is over
And I never will forget the day we met

Girl I'm gonna miss you, How someone so beautiful can cause so much pain to the Innocent one😟😟😢😢

FB_IMG_16437316376046502.jpg
FB_IMG_16437316002997150.jpg
 
Labda umeandika hii mada yako ndefu bila ya kutafiti "nature" ya mapenzi inavyofanya kazi duniani!

Iko hivii?:

Unapompenda sana mtu, awe mwanamke ama mwanaume wa jinsia yako, elewa yeye hakupendi kama unavyompenda wewe, yaani upendo wako wewe lazima uwe juu zaidi ya anavyokupenda yeye, huo ni mfumo, kwa hiyo katika upendo huo wewe utakuwa unaburuzwa.

Na katika kupenda pia, binadamu wametofautiana katika vyanzo vya kupenda ama namna ya kuanza kupenda.

Wengine huanza kumpenda mtu kwa kubembelezwa, wengine kwa kutishwa na wengine kwa hadaa.

Na uelewe kuwa kumpenda mtu ni raha zaidi ya kupendwa.

Kwa hiyo ni vyema ukawekeza kupenda kwanza,ili unayempenda umfanye naye akupende pole pole na baadaye kukupenda kidhati kuliko kuanza kupendwa wewe moja kwa moja!

Mimi nina mfano hai wa ninachokiongea:
Mke niliye naye sasa nilimpata baada ya "kumbaka" kisaikolojia.

Nilimpenda na kuonesha nia ya kutaka kuishi naye, lakini akanitolea nje kwa kunikataa kidhalilishaji.

Kwa kuwa ninazijua kanuni za mapenzi nikaona huyu midhali nimempenda lakini yeye hanitaki ndiye anayenifaa.

Nikatumia mamluki kumpelekea ujumbe wa vitisho kwamba, kama hanitaki tutaona!

Na kwamba mimi ni konkodi kwa uchawi, kama anapenda kuleta msiba kwa wazazi wake, aendelee na msimamo wake huo!

Pia kuanzia sasa asinisalimie na akiniona kwa mbali nikikutana naye,anikwepe kwa abadili njia na sitataka msamaha na yeye!

Kusikia hivyo msichana akapaniki: "Ooh, mimi sijamkataa kwa ubaya, naomba anisamehe".

Nikasema akitaka yaishe kwa udhalilishaji alonifanyia tukutanishwe na mshenga anieleze vizuri ni kitu gani nilichomkosea hadi kutamka maneno yale.

Kosa akalifanya kukubali kukutana, piga vitisho na ulaghai wa kufa mtu na nikakataa kumsamehe hadi akaingia kingi, na kumchumbia hapo hapo.

Baada ya kumuoa, kwa vile nilimpenda kwa dhat, treatment nilizomfanyia zilimvuta katika penzi na upendo wa dhati.

Mpaka leo huwa anaungama kuwa amenipendea kwangu juu kwa juu baada ya kuingia ndoani na ndivyo nilivyotaka mimi, yaani kupenda na siyo kupendwa.
 
wewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu. Kama unataka kumsaidia mtu saidia then mwache aende sio umtake kimapenzi, hata usipomtaka kimapenzi basi msaada wako usiwe fimbo ya kumchapia. Umnyanyase kiakili na kimwili kisa bila wewe asingepata kazi hiyo. Saidia kisha futa kabisa katika kumbukumbu zako kua uliwahi kusaidia mdada Fulani kupata kazi katika kampuni uliyopo. Hupati faida yoyote ukitangaza kama uliwahi msaidia mtu Fulani.
-Life is full of Surprises and Possibil
Kuwa katika nafasi za nyadhifa inashauriwa kutendea wengine mema kama ulivyoshauri.

Lakini kuna hizi rushwa za ngono ni hatari, hauombi unaletewa, inakufuata pamoja na gharama zote za "gesti" na vinywaji, usipokuwa na moyo wa subira, ni rahisi sana kuingia mkenge wa kashifa!

Mara nyingi rushwa ya namna hiyo ikiletwa ukakataa kuipokea, huleta taharuki kwa mtoaji na hujisikia dhalili sana.

Nafasi za kazi ni haki ya applicants wenye sifa zilizotangazwa kama wanazo.

Wakati flani nikiwa katika wadhifa na mamlaka, niliwahi kuletewa rushwa za ngono mara nyingi na zote nilizipangua bila jazba wala lawama.

Watu walioniletea rushwa hizo wengi walikuwa wanazo sifa stahiki hadi nikawa ninashangaa kuwa hii imekaaje!

Kwanza kabla nilikuwa sielewi mtoa rushwa ataanza anzaje kunishawishi, yaani kiaje na kwa namna gani!

Kumbe ni rahisi tu, hasa chanzo kikiwa ni simu!

Natoa mfano wa mtego mmoja wa rushwa nilioupangua.

Zilipotangazwa nafasi za ajira pale hamashauri, sikujua huyo mama alipataje namba zangu za simu pamoja na jina langu kamili kisha akanipigia simu..."mkuu upo wapi?"

Mimi: "nipo nyumbani".

Yeye: "ntakuonaje sasa nnashida".

Mimi: "shida gani, nnaongea na nani kwanza?"

Yeye: akanitajia jina silijui, nikavutiwa kuonana naye kwa utambuzi zaidi, nikampatia appointment.

Huyo mama alikuja kajiandaa kwa rushwa ya ngono pamoja na pesa za gharama ya gesti wazi wazi.

Baada ya kukutana:

Yeye: "mkuu mimi- - - ni mmojawapo wa applicants tulioleta maombi ya kazi leo ofisini kwako".

Yeye: "Dunia ya leo bila kujitoa ninajua hauwezi fanikiwa lolote hata uwe na sifa vipi, hivyo mkuu ninaomba unisaidie kunipitishia maombi yangu na mimi niko radhi kujitoa kwa chochote upendacho kama shukrani ya utangulizi kwa unachoenda kunifanyia".

Rushwa hiyo niliikataa kuipokea lakini nilimsaidia kumpatia nafasi aliyoiomba bila ya masharti yoyote.

Wakati tunaachana alikosa raha na alinywea kabisa akijuta kwa kuhisi angelipoteza nafasi kwa kihere here chake hicho.
 
Duuh kweli tumetofautiana. Lakini mkuu uje hakuna Exactly formula ya kumpata mwanamke unayempenda.

Lakini mimi binafsi hiyo njia unayotumia wewe mimi siiwezi kabisa! Binafsi napenda mwanamke nitakayekua nae tupendane naturally, yaani upendo wake kwangu na mimi kwake uwe sio wa kufosi. Yaani anipende kwakua ananipenda na sio anipende kwakua mimi nampenda

Mwanamke hata nimpende vipi nikihisi kwamba namlazimishia upendo au nalazimisha mawasiliano nae basi hua najiweka pembeni. Sipendi niwe kero kwa wenzangu, Naamini kwamba mapenzi yanakua matamu zaidi kama kila mtu atampenda mwenzake bila kufosi.. Unconditional Love.
Nipende kwakua unanipenda😟
 
Daah inasikitisha sana asee 😢
Hongera kwa kusimama katika uadilifu wako, msiwanyanyase hawa wadada kwakua wana shida
 
Duuh kweli tumetofautiana. Lakini mkuu uje hakuna Exactly formula ya kumpata mwanamke unayempenda.

Lakini mimi binafsi hiyo njia unayotumia wewe mimi siiwezi kabisa! Binafsi napenda mwanamke nitakayekua nae tupendane naturally, yaani upendo wake kwangu na mimi kwake uwe sio wa kufosi. Yaani anipende kwakua ananipenda na sio anipende kwakua mimi nampenda

Mwanamke hata nimpende vipi nikihisi kwamba namlazimishia upendo au nalazimisha mawasiliano nae basi hua najiweka pembeni. Sipendi niwe kero kwa wenzangu, Naamini kwamba mapenzi yanakua matamu zaidi kama kila mtu atampenda mwenzake bila kufosi.. Unconditional Love.
Nipende kwakua unanipenda[emoji45]
[emoji38][emoji38][emoji38]! Nimecheka sana waalah!
Sema nini?

Kwa comment yako hii, unaonekana ni mstaarabu na mpole sana.

Ila hawa viumbe lazima ujue kwamba, wao wanastahili kuanza kupendwa ndiyo baada ya kumpenda wewe, ushawishi wako hupelekea kumvutia kukupenda.

Kati yao wapo wanaopenda ubabe na hujisikia raha na salama sana kupatikana na mwanaume mbabe katika mazingira ya vurugu na ubabe wa kutisha!

Uliza wanasaikolojia za mahusiano wanalijua hilo.
 
Kiasi chake tu niko mpole.
You know a man must have and stick to a code
Ila hawa viumbe lazima ujue kwamba, wao wanastahili kuanza kupendwa ndiyo baada ya kumpenda wewe, ushawishi wako hupelekea kumvutia kukupenda.

Kati yao wapo wanaopenda ubabe na hujisikia raha na salama sana kupatikana na mwanaume mbabe katika mazingira ya vurugu na ubabe wa kutisha!

Uliza wanasaikolojia za mahusiano wanalijua hilo.
Basi mimi niko tofauti kiasi mkuu, najua kweli wanawake wanapenda 'KashKash' toka kwa mwanaume kuanzia wanapofuatwa mpaka wawapo penzini.

Mimi siwezi fanya hivyo kama nilivyosema sipendi kufosi mambo, sipendi kugombania/kupangia foleni kitu. Mapenzi matamu ni yale ambayo yanabubujika toka pande zote mbili Unconditionally. Unajua ukianza kufosi akupende ndio utaanza kutumia Material kumpata mwanamke, ukishatumia material basi linakua sio penzi tena bali unapewa huduma kwa ghalama uliyotumia.

Sababu kuu inayonifanya niwe hivi it's just because NAPENDA UKWELI, NAPENDA VITU HALISI.
 
Wakunifanya ka baraka kwa michelle,
tabasamu zaidi ya mfungua mlango wa 5 star hotel
USINIKUBALI HARAKA ( FID Qft MATONYA).

Naomba uniweke ndani ya chupa..// kwako nifike kabisa..//
mchumba nizuzuke, nife nizikwe na wewe kbs.... mm ni binadam nafahamu sijakamilika....
nitafurahi kama utanimwaga nikija Kwa gia za mkwanja , nitarudi kujipanga ki_underground kama......../
 
Kukupa moyo ukinifanya niwe na wivu,
Kwa mfano nikituma meseji naomba
Uchelewe kunijibu ' Na sio lazimaaaaaaaa!
Kila sehemu ninayokualika utokee,
Au kila simu ninayokupigia eeh Malkia uipokee,
Nyingine unaweza zichunia hiyo inaweza saidia,
Kuniweka roho juu na kunijaza uchungu pia,
Tusikutane leo mtaani halafu kesho eti uibuke ghetto,
Nizungushe ili nijitoe mwisho wa siku niingie peku,
Usinikubali haraka sababu utaharibu
Mapenzi nami sitaki kukuacha au tuishie ' ONE NIGHT STAND'
Sijakupenda leo tu kwa sababu tumekutana Nilikupenda long time hadi
Hii leo nakupenda sana,
 
Back
Top Bottom