Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #321
Mie msukuma KarmaHaha mie nasubiri tu kusikia mkoa unaofuata ikiisha yote tanzania mnishitue labda atahamia na nchi jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie msukuma KarmaHaha mie nasubiri tu kusikia mkoa unaofuata ikiisha yote tanzania mnishitue labda atahamia na nchi jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
yna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa
Asante penda penda.Nakupenda sana
[emoji23][emoji23] hakuna cha dawa hapa,kama unaenjoy kuwa ktk situation ya hivyo dawa ya kazi gani?,haya ni maisha yetuMy friend we need jesus!!!!
mwisho wa siku nasemaga samething, "Bwana weeh nobody needs me! mimi sina jipya kwanza atakaaje na mimi bora basi ameamua kuniacha, maana sina cha ku-offer
Hivi tukoje[emoji23] tutafute dawa haya sio maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kwa kubadili majina hujambo[emoji23][emoji23] hakuna cha dawa hapa,kama unaenjoy kuwa ktk situation ya hivyo dawa ya kazi gani?,haya ni maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utadhani nishawahi mpenda
Kanijibuje?Sasa mbona umemuambia unampenda?? Umeanza lini unafiki dogo??
Usirudie tena,, Sikukufunza hivyo..
Sent using Jamii Forums mobile app