Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Sasa ile namba yangu umeifuta au bado unayo?Ndio maana nina namba 27 tu tena nyingi ni watuwazima. Naokopa sana sana watu wapya.
people are full with disappointments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ile namba yangu umeifuta au bado unayo?Ndio maana nina namba 27 tu tena nyingi ni watuwazima. Naokopa sana sana watu wapya.
people are full with disappointments
Basi bana kama umeifuta? 🤔Mkuu upo siriaz kabisa?? Sidhani kama nishawahi kumiliki namba yako
Vip ulishaponaKuna hali naipitia sasaivi ni ya hatari sana, kuna mtu yupo akilini mwangu ananitesa sana.
Anyway acha tuone itakuaje..mleta mada umenigusa kishenzi ani
Vip kuhusu mtoto? Wewe ulikuja kuoa nani? Na Vip kuhusu yeye aliolewa? 🤔Hii hali ilinikuta kwenye mahusiano yangu yaliyopita..nahisi nilikua attached sana kwa yule mwanamke.
Kwanza tulipendana sana, alinisaidia vitu vingi sana ukizingatia nilikua bado mwanafunzi wa chuo kwhyo alisolv vitu vingi. Hata matatizo yangu ya ujana yeye alinisaidia, kuna kipindi nilikamatwa nikakaa polisi wiki mbili nzma (nilikutwa na misokoto kadhaa ya weed so sikutaka yeyote home ajue) na huku polisi wanadai namba za ndugu ili wawambie waje kunitoa wao wapige hela mi nawambia sina namba yyte. Washkaji walivomwambia manzi akaja kunitoa, alilipa 400K ili kuua lile soo..na mbaya zaidi siku amekuja kunitoa kumbe ndo siku ambayo mother kapata taarifa so by the time tunatoka nje ya jengo la polisi tunakutana na mama..ile mother kuniona na kumuelekeza situation ilivokua she cried aisee halafu akam hug yule mwanamke wakalia sana pamoja! Nikazidi kumpenda..
Ikatokea kipindi nikampa mwanamke mwingine ujauzito, aliumia na akalia sana that day..akanambia nae alikua na ujauzito pia, alitaka kunifanyia surprise siku ya Graduation anambie. Lkn hakutaka kunikosa, mahusiano yakaendelea akanambia tulee tu hizo mimba. Nikaona i found an angel in person, she loved me hadi nikaogopa..mwanamke wangu wa pili ndo alitangulia kujifungua, nikapata a princess na huyu mwanamke aka suggest nimuite mwanangu Rowlene.
Baada ya mimi kupata mtoto mahusiano yakaendelea lkn kwa shida sana, kukaanza kutokea maugomvi mengine hayaelewek kabisa. Sometimes namuita ghetto inatokea tuu kanikosea kitu hasira zinanipanda nampiga akn hapohapo nakuja kugundua nmemkosea nambembeleza (lkn hapa nikawa naumia kwani ilibd tusahau kosa lake).
Mahusiano niliyapambania sana, nilihisi hakuna kitakachowezekana bila yeye. Ikafika kipindi najiaibisha (something i said I'd never do) ili kumfanya abaki.
Things turned from bad to worse aliposema anataka kuachana na mim kwan anahisi alikuja kwenye maisha yangu kama daraja tuu ili mm niwe na nimpendae..hapa pia nilipambania sana, i felt weak and cried a lot. Sikuliona kosa na kama ni yale madogo madogo nilifikiri tungeweza kuyasolv. I tried ndugu zangu lkn juhudi zangu ziligonga mwamba. Badae nikaja kugundua kuwa kuna kitu kagundua, alishika simu akakuta nmemsev yule mwanamke "Wifey".. Yeye hakua na shda kwa mimi kuwasiliana nae, ila tuu nimpende yeye peke yake huyu tuwasiliane tuu kama wazazi wenza. Hapo nikajua hakuna nnachoweza kufanya ili kumfanya abaki..na kumuacha siwez kwani i felt like i was loosing a part ov me!!
Ikafika kipindi nikaamua niache kujidhalilisha..nitakubaliana vipi na fact kuwa nnamkosa? Nikamuomba tuu nimkosee kosa ambalo litafanya mimi nayey tusitafutane tena, tuchukiane mno. Tukakubaliana kuwa sehem ya mwisho ya mahusiano yetu ilikua kama kiazi kilichooza, kila mtu aliumizwa..tukakubaliana tufanye kitu. Meenh nikafanya bonge moja la tukio ambalo kweli tulifanikiwa kupata tulichotaka. I hope she's fine huko aliko
Umri wako sasa unakuruhusu kuoa mkuuMambo ya KULAZIMISHA penzi sijawahi kuyafanya na wala sina mpango wa kuyafanya. Naweza kupenda hadi watu wakadhani nimelishwa LIMBWATA lakini akanikorofisha tu basi sinaga msalie mtume. KIBUTI ni mara moja nabaki na kutibu majonzi yangu lakini kupiga magoti huo UJINGA sifanyi.
U
Umri wako sasa unakuruhusu kuoa mkuu
Jamani nimecheka mpaka basi, haaa haaaa 😁😁Sitaki tena. Nimeghail.
Asante kwa karibu yako
Hutaki kuoa mkuu? 🤔Hivyo eh! Hivi umri wa kuoa ni miaka mingapi vileeee!? Na umri wangu unaujuaje!?
Hutaki kuoa mkuu? 🤔
Vikongwe huwa wanaolewaga mkuu? 🤔Jibu maswali banaaa! Unataka nikuoe wewe mamy? 🤔
Ngumu sanaBe Alone..but Happy
Vikongwe huwa wanaolewaga mkuu? 🤔
Sijawahi lazimisha mpenzi au rafiki abaki kwenye maisha yangu .
Nina rafiki mmoja na my Good friend mmoja ambao licha ya mambo yangu ya ovyo wakati mwingine but still wapo kwa ajili yangu..hawa viumbe acha tu niwalazimishe wabaki kwenye maisha yangu wana maana kubwa Sana kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati namtongoza mke wangu nilimuonesha upande wangu wa pili wa mabaya yangu uhuni kulewa ugomvi na kila baya langu sikumuoneshea uzuri wangu hata kidogo lkn ndo tukaoana tuko pamoja na maisha yanasonga.
Ukute alipenda pesa zako ulizotumia kusafisha yale mabaya aliyoyaona🤔🤔 si unajua mbwa mwenye mfupa habwekiWakati namtongoza mke wangu nilimuonesha upande wangu wa pili wa mabaya yangu uhuni kulewa ugomvi na kila baya langu sikumuoneshea uzuri wangu hata kidogo lkn ndo tukaoana tuko pamoja na maisha yanasonga.
Mtoto bado yupo nae nafikiri, amemuita Taraj. Alinitumia picha ya chalii na baada ya hapo sijawahi kumpata tena hewani wala alikokua anakaa. Mimi nilioa mama wa mwanangu wa kwanza, yeye sina taarifa zakeVip kuhusu mtoto? Wewe ulikuja kuoa nani? Na Vip kuhusu yeye aliolewa? [emoji848]
Nishapona mkuu, now nipo fit napambania maisha yangu[emoji38]V
Vip ulishapona