yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Mbona uzi umekuwa wa mapichapicha tu?Obviously we don't say goodbye [emoji22]
View attachment 1798580
Hakuna mikasa mingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona uzi umekuwa wa mapichapicha tu?Obviously we don't say goodbye [emoji22]
View attachment 1798580
Nazingua kivip , yaani tangu niachane na wewe sijawahi kuwa na mapenzi ya dhati na watoto wa kike.Unazingua [emoji3]
Sema ulivyoenda chuo ukamtosa jamaaUsaliti
Kipindi kile ndio nimemaliza chuo, ukaona ukiwa na mimi utachelewa kutoboa, ukaamua kuninwagaKulikua na vimambo mambo vingine nikaona isiwe tabu nikajisepesha.
Mkuu,My dear mtoa post
Huyo alisema kuhusu subconscious mind amenigusa ku moyo mpk chozi limetoka Mana Niko katika Hali ya kutafuta furaha na Aman moyon.
Tatizo langu ni kua nilipo Anza kutafuta rafiki wa kweli ktka uanafunzi huu nilionao sasa nikapata nikaweka Iman kua atakua na me Kila mda ni mwana wangu Sana tunashare vingi ,tunasoma wote ,tunasema Iman kua tutafanya wote kazi moja na vengine vingi Kama marafiki
Nalimtafuta yye Mana nallikua na msongo wa mawazo kukataliwa kimahusiano na Mikasa mingi ya maisha .
Ila sasa yanayo nikuta ni makubwa Mana najikuta me ndyo naweka huo uwepo sasa wa urafiki sio Kama zaman kisa jamaa kapata demu ambaye anampenda Sana.
Mara nyingi najikuta mpweke Sina wa kusema nae niliyo nayo basi nabaki naongea mwenyew tu Sina Hata demu Kama rafiki yangu kusema atanipa furaha
Humu mko mnaojua namna nitapona na hili tatizo [emoji24][emoji24] [emoji24] Mana napenda marafiki Ila marafiki ni wakunipa furah mwanzon tu
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Ngoja kwanza nilie mimi [emoji24][emoji24][emoji24] Mana mtoa mada kanigusa kwenye huzun.
Naombeni ushauri wenu wakuu[emoji17][emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda misitu au nyika hivi. I recharge nikiwa mojawapo ya hizo sehemu.Wow you guys mmenifurahisha mlivyoquote some verses za kwenye moana,, hamjui tu ni jinsi gani nampenda moana and I see her in me character-wise..
I'm an ocean-lover,, na hadi wazazi wangu wameshaongea na wameshanikataza sana (kama wazazi wa moana) kuhusu suala la kupenda bahari kupita kiasi..
"I wish,, I could be the perfect daughter.. but I come back to the water,, no matter how hard I try.."
Yaani mimi ni introvert mmoja ninayejikubali mno,, napenda sana kuwa peke yangu na napenda sana adventures..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh ok. Lo mimi sijui sana haya mambo kaka, kumbe inawezekana kufunguka kiakili/kifikra...Hebu mpe muda endelea kumsoma afu egemea zaidi kuangalia mambo postive kutoka kwake hopefully atakufaa. Hutampata mwenye vigezo vyote utakavyo kuna sehemu atapwaya tu ndio ubinaadamu. Endelea kua nae with time anaweza kufunguka akili
Ooh thanks brother. Introversion yetu hii ni kazi kukaa na mtu ambaye hawezi ku-fit kwenye friendship (kupiga stories na mijadaka ya hapa na pale kuhusu mambo tofauti tofauti) chief, walakini nimekuelewa vizuri mno. Mungu ni mwema na aliyoazimia hayawezi kuzuilika.Knowledge can be transferred mate ndio maana kuna education.
Lakini Intelligence can't be transferred, kama inteligence yake ipo chini mvumilie hivyo hivyo unajua Binaadamu tumeumbwa kama vidole. Anaglia vidole vyako katikati kuna Uwazi. Kwenye huo uwazi vidole vya mkono mwingine vinaweza kuingia na kufit. ndio hapo nasi binaadamu tupo hivyo kuna watu wamepungukiwa vitu fulani akikutana mtu mwingine wakawa pamoja basi wanaunga bond nzuri.
I call it life Compatibility!
Kama ni mzuri na umempenda mvumilie atakua mwanamke mwema kwako trust me.. we all can't bless like everyone. Tunanyimwa baadhi ya vitu ili kudhihirisha ubinaadamu wetu[emoji110]
Naam nakuelewa kaka, najitahidi kuwa 'fair', nimekupata vema tangu jana hata sasa. Maandiko yako yamenipa nuru, na sipendi kumuumiza mtu. Ahsante sana.Basi jitenge mbali na huyo binti udimsababishie maumivu kama unaona hamuendani.
Ukiona introvetism yako inakufanya uwe too picky unaweza kua kama mimi tu. Just me and my phone and my world is enough
Naam ahsante sana kwa hii elimu na hekima kakaPamoja sana Kiongozi, usimuumize Mtoto wa watu bure. Hakikisha Upendo wako umetoka kwenye Mind.
Paleomammalian Cortex (Limbic System) hii ndio sehemu ya ubongo inayohusika nma kupenda mtu, unapomuona mtu yoyote unayempenda hii sehemu ya ubongo inatoa chemicals mbazo zinapelekea moyo kwenda kasi, halafu unasikia moyo unampenda sana huyo mtu lakini ukweli huo upendo upo kwenye ubongo. Hizo hisia unazisikia kwenye moyo sababu kuna Nerve mbalimbali ndani ya moyo ambazo huhisi maumivu ua hali yoyote kutokana na jinsi ubongo ulivyoamua moyo uhisi…
Emotions zinakaa ndani ya Akili (Mind, kumbuka mind ipo ndani ya Ubongo) hivyo basi kupitia Limbic system Love
Emotions hutafsiriwa na kutolewa huko kwenye Moyo kama output Device.