Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Will do itDo the needful sasa[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Will do itDo the needful sasa[emoji28]
[emoji23]khaMkuu, uongo kwangu ni kosa la jinai. Hata ukinidanganya kwa kunitania nakuweka kundi la waongo
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me.Nyoko yule, nilimpenda sana alijua, sijui km alinipenda au laah.Ila yeye ndiyo alikuwa wa kwanza kuwa na maisha bora. Ilipokuja swala la ndoa hapo ndiyo Kabadilika vibaya mno.Simu hapokei sms hajibu. Kuna siku nikamchana kwanini hupokei simu yangu kwani nakudai.Sintakupigia tena nilimwambia toka 2009 mpk leo sijawahi kumuona, wala kupigiana simu.
Yeye atakufia kulia huko nami kushoto tumevunja bond yetu tuliyoitengeneza toka tumonana sekondari.
Kuna sehemu nimekusoma unasama love is a fate and not a destiny please naomba ufafanuzi wako tofauti ya haya maneno mawili katka in relation with love/relationshipBy default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me.
Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na bible pia science/psychology inakubaliana na hilo, mwanaume anajiona mkamilifu zaidi pale anapoweza kumtawala (sio kimabavu), kumuongoza na kumuhudumia mwanamke na mwanamke anajisikia amani na usalama zaidi anapopata mwanaume anayeweza kusimamia misingi ya uanaume wake yaani kutawala, kuongoza na kuhudumia .
Ikitokea jinsia moja imeenda kinyume na mfumo huo wa asili chaos must happen, labda mwanamke anapesa zake na maisha mazuri anataka afanye vile vitu anavyotakiwa kufanya mwanaume ajili ya kiburi cha pesa zake lazima mwanaume huyo kama anajitambua apinge (rebel) ajabu sasa mwanaume akiamua kuvumilia huyo mwanamke ajili ya pesa alizonazo mwanamke huyo atamdharau na kumuona fala sababu ameshindwa kusimama katika misingi ya kiume mahusiano hayo hayatadumu,that’s nature bwana.
Mwanaume umepewa dhamana kubwa duniani haijalishi mwanamke ana mapembe, mabawa, mkia, miiba au ana umri mkubwa na cheo zaidi yako bado atabaki kua mwanamke mtu na kanuni ni ileile atabaki kua chini yako daima, vijana wa sasa sijui mnafeli wapi aisee yaani mnadhalilisha jinisa na mamlaka yenu mbele ya wanawake.
Mwaume unayejielewa haiwezekani unalia, unashindwa kulia kisa mwanamke wako kakuzingua ni aibu mazee. Halafu wanawake wa sasa washajua wanaume wa sasa ni maboya tu hivyo wanakanyagia mafuta tu ya kuwaumiza maana washajua hamjui dhamana yenu duniani. Hivi unaanzaje kulia kisa mwanamke?
Wanaume tunapendwa sana na Mungu sijui hamjui au ni vipi hebu tembea mtaani, mitando ya kijamii uone wadada wazuri walivyojazana hao wote wameumbwa ajili ya mwaume awafaidi. Kwa hesabu za haraka duniani kuna watu zaidi ya bilioni 7 wanaume billion 3 na wanawake billion 4, yaani tukisema leo kila mwaume aoe mke mmoja mmoja kuna billion 1 ya wanawake itabaki haina kazi [emoji847]
Yes I did say that love is fate maana sio kila mtu ataupata upendoKuna sehemu nimekusoma unasama love is a fate and not a destiny please naomba ufafanuzi wako tofauti ya haya maneno mawili katka in relation with love/relationship
Ni kweli yoyote anaweza kubadirika. Ila kwa mama yangu, My mom. Hapana she'll always be my first favorite person in the earth.Sio kweli kuwa mama yako mzazi hawezi kukusaliti,humans are just humans with a lot of imperfections..
Hapa ndipo unasimama ukweli kuwa amtegemeae mwanadamu amelaaniwa,asiebadilika ni Mungu pekee..mtegemee yeye utaishi vizuri sana.
Unataka kuwa ndani ya mzazi/mwanadamu zaidi kuliko Mungu!! sikuzuii.Ni kweli yoyote anaweza kubadirika. Ila kwa mama yangu, My mom. Hapana she'll always be my first favorite person in the earth.
Hawezi kunigeuka, nikikumbuka alivyokua ananifichia chakula baba akicharuka home
Una hoja ya msingi, but napenda kuegemea upande chaya wa maisha. Sitaki nijikoseshe amani na imani zangu kwa mama yangu ajili ya kuwaza kua siku moja atanisaliti.Unataka kuwa ndani ya mzazi/mwanadamu zaidi kuliko Mungu!! sikuzuii.
Naongelea hili ktk picha kubwa zaidi,elewa maana ya usaliti ndio utajua mzazi anakusaliti vipi.
Watu wengi walivyo sasa ni matokeo ya mienendo ya usaliti wa wazazi wao.
Japo umeandika gazi la kunichana makavu mzee ila mimi bado haa hayajanikuta, mimi ni spika la jamii natoa yale yanayosumbua jamiii lakini sio kwamba mimi nimeyapitia.Bwana wee!! unacho sema ni kweli kabisaa!! lkn kuna mmoja huyo!!.... lazima akuguse kamoyo tu!! yaani akitembea na moyo wako unatembea akilia unalia!! hata km hanipendi nitakuwa nae tu!! ivo ivo!! nitamjengea uwezo wa kunipenda!!
kuna sehemu Kwa Biblia inasema ''UPENDO HAUTAKABALI , HAUHESABU MABAYA'' Ukiangalia ni kweli kabisaa! ukipenda mtu/watu hutaona kutendwa vibaya!! lazima utakomaa na hayo mapungufu yake!!! siyo kamke kanisaliti siku moja tu!! basi humtaki! vumilia mpe somo onyo!
usipofanya ivo utakufa pole!! pole, kila ntu anataka ntu nyenzake! hata iweje!! ivoivo ndo ivo! usijiridhishe eti muache aende weee!! utakufa ghafla siku moja! km Jiwe! lile zee liliendeshwa na Roho ya visasi sana!! eti! linasingizia siasa! sasa Zacharia Mfanya biashara yule alilikosea nini? ......UNO ilimkosea nini?
na mpaka umeleta hii mada yamesha kukuta nenda kajipitishe pitishe na urudi kwa mwenzi wako!! mwambie yale yameisha! njoo tulee watoto! mpe mpnga mfute machozi wewe mzee!
yaani mtu asifanye kosa tayari ume-muhukumu?? acha hizo! jifunze kuvumilia km Mungu anavotuvumilia! si tumeumbwa kwa mfano wake, km wewe htaki kusamehe sijui umeumbwa kwa mfano wa nani!!!
samehe,vumilia, penda tu, onyesha njia, siyo kunyoooka tuuu!! hivi unajua ni ugunjwa huo?? wewe una roho ya ngumu! kwa sababu huwezi penda mtu!! eti kwa sababu amejikwaa basi humtaki mweeee!
Yaani mkuu Baba hujakosea! kabisaaa!! yalinichapa na nikachapika ! kamupenzi kangu Mary! haka kalinichapa mpaka leo ni kamke kangu nakapenda weweeee! hee! na la pili ni Mshua! yaani huyu bana alikuwa kauzu!!!Ila inaonyesha mzee yamekuchapa ndio maana umeandika gazeti, mtafute basi muyamalize