Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Hongera sana bro.Nikjikuta ndio tumekushakuwa wapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana bro.Nikjikuta ndio tumekushakuwa wapenzi
Hahahahaaa eti uwapoteze kimya kimya. Ulionesha uvumilivu wa hali ya juu sanaMimi ktk harakati zangu. Nilitoka Unguja kufika bara. Kushuka kwenye boti pale bandarini. Vijana wa Azam wameniambia mizogo yote unayifwata mbele ya mlango wa kuelekea Custama. Mie nimetii naelekea sehemu iliomwaga mizigo ya abiria... Vijana wa pale bandarini wanachagamkia kugombania mizigo ya kubeba. Vijana wawili wamejitokeza wamechagua begi langu. Moja kati yao ameseme ndo hilo livute. Na mimi nimenyamaza nawangalia kwa jisho la huruma.ila aliekuja kuharibu shoe yote ndo ule niliefwatana nae. Kusema kusema Sheikh begi lako si ndohilo vijana yanaolinyanyua? Nilimwambia ndio ila ananiletea hapa. Ghafla abiria yote wameshanga. Kwa upole nilionyesha na bila kubishana nao wale vijana. Niliwambia nimenyamaza kusudi ili nijue mwisho wa mchezo wenyu? ili mkichezecha begi langu rafu. Na mimi niwapoteze kimya kimya huko baharini.
Ndio. Nilikua nimetulia kuona mwisho wao. Tulikua tunapata habari mbalimbali za wizi na utapeli wa bongo. Kwahiyo mimi nilikua tayari kujipanga mapema. Wangeondoka na begi langu. Na mimi ningeondoka nao. Bila kupiga kelele. Kwanza nilijiona kazi yangu ingekua nyepesi....Hahahahaaa eti uwapoteze kimya kimya. Ulionesha uvumilivu wa hali ya juu sana
Huo uandishi sasa... dah!Mimi ktk harakati zangu. Nilitoka Unguja kufika bara. Kushuka kwenye boti pale bandarini. Vijana wa Azam wameniambia mizogo yote unayifwata mbele ya mlango wa kuelekea Custama. Mie nimetii naelekea sehemu iliomwaga mizigo ya abiria... Vijana wa pale bandarini wanachagamkia kugombania mizigo ya kubeba. Vijana wawili wamejitokeza wamechagua begi langu. Moja kati yao ameseme ndo hilo livute. Na mimi nimenyamaza nawangalia kwa jisho la huruma.ila aliekuja kuharibu shoe yote ndo ule niliefwatana nae. Kusema kusema Sheikh begi lako si ndohilo vijana yanaolinyanyua? Nilimwambia ndio ila ananiletea hapa. Ghafla abiria yote wameshanga. Kwa upole nilionyesha na bila kubishana nao wale vijana. Niliwambia nimenyamaza kusudi ili nijue mwisho wa mchezo wenyu? ili mkichezecha begi langu rafu. Na mimi niwapoteze kimya kimya huko baharini.
Sasa kazi yako ingekuwaje nyepesi wakati mngetumbukia wote huko baharini sheikh?Ndio. Nilikua nimetulia kuona mwisho wao. Tulikua tunapata habari mbalimbali za wizi na utapeli wa bongo. Kwahiyo mimi nilikua tayari kujipanga mapema. Wangeondoka na begi langu. Na mimi ningeondoka nao. Bila kupiga kelele. Kwanza nilijiona kaziyangu ingekua nyepesi....
Shukran mwalimu rukhsa kurekebisha.Huo uandishi sasa... dah!
Hapana. Watu ndo wangemtafuta ndani ya maji. Mimi kazi yangu ingefanyika juu kwa juu. Maghadimu wa pale bandarini ndo wangenimalizia yio kaziSasa kazi yako ingekuwaje nyepesi wakati mngetumbukia wote huko baharini sheikh?
HahahaaaaaHapana. Watu ndo wangemtafuta ndani ya maji. Mimi kazi yangu ingefanyika juu kwa juu. Maghadimu wa pale bandarini ndo wangenimalizia yio kazi
Basi wee kibokoHapana. Watu ndo wangemtafuta ndani ya maji. Mimi kazi yangu ingefanyika juu kwa juu. Maghadimu wa pale bandarini ndo wangenimalizia yio kazi
Hahahahahaaa message sent & deliveredUnataka mi na witness tuuane sio?mwambie Akae mbali na asali wangu bana
Kwenye chatting kama hizi za JF mpangilio wa maandishi sio muhimu kiviiiile mkuuShukran mwalimu rughsa kurekebisha.
Mbona panatokea wajuaji humu ndani? Jambo la busara ndio kukubaliana nao ili usilete majibizano na watu wa dizaini kama hivyo. Utagundua wengi wao ni vitoto vya millenium.....Kwenye chatting kama hizi za JF mpangilio wa maandishi sio muhimu kiviiiile mkuu
Sawa mkuu. JF siku hizi ina watu wengi wa kila hulka na tabia tofauti na zamani miaka ya 2012.Mbona panatokea wajuaji humu ndani? Jambo la busara ndo kukubaliana nao.ili usilete majibizano nawatu wa dizaini kama hivyo. Utagundua wengi mwao ni vitoto vya millenium.....
Just take it ease bro.Huo uandishi sasa... dah!
Ungewaacha watu wachangie kwanza,hizi siti za mbele hutakiwi dereva kuzimiliki mwenyewe😁Mwaka 2004 ruti ya Kimara - Kariakoo kabla ya kuja mwendokasi kuna baba mmoja aliwahi kuombwa na abiria mwenzie amsaidie kubeba begi kwa maana daladala ilikuwa imejaa sana.
Wakati wa kushuka yule jamaa mwenye begi akashuka kimya kimya akaondoka. Kumbe begi lilikuwa na bangi kilo kadhaa ndani.
Sitaki niendelee kusimulia kwa maana yule baba alitia sana huruma na ilibidi abiria ndio wamtete kwa Polisi kuwa begi sio lake aliombwa tu na abiria mwingine amsaidie kubeba.
Hii dunia wee acha tu.