IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
SanaNakuona mzee baba "bombi nyumbi" wangoni raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaNakuona mzee baba "bombi nyumbi" wangoni raha sana
Pamoja sana mkuuSana
Karibu sanaMtu wa nyumbani wewe nitakutafuta tuzungumze kidogo huko PM
Watu wasiojulikana bila shakaIlienda wap mkuu
Ndugu yangu mmoja yeye alitelekeza dumu la lita 20 la pombe aina ya gongo kwenye treni. Alikua anasafirisha kama mafuta. Ile mtikisiko na mkanyagano si mfuniko ukafunguka kitu kikaanza kutema smell kama ya spirit, watu kuuliza dumu la nani mshikaji akakauka. Polisi wakaja kulibeba nadhani walienda kufanya sherehe huko
Huo wimbo wameeimba kundu moja linatwa majitu,wapo jamaa walili, ameshilikishwa inspeter haruni, wimbo wao mwingine unaitwa mke WA mtu NI sumu,Extrovert hii dunia hii wee acha tu. Kweli wanaoenda jela sio wote wana hatia waliimbaga Gangwe Mobb. Soma hiyo post yangu #2
UsitudanganyeNiliingia kanisani kusali nikaweka baskeli nje ila nilisahau kuifunga baada ya sala kumaliza kutoka nje naiona baiskeli ipo na nikashangaa sana haikuibiwa maana ni nilisahau kuifunga ,basi nikaamua kurrudi kanisani kwenda kushukuru kwa mungu kwa kuikuta basikeli yangu ipo salama, wandugu kutoka baiskeli haipo, ,.
Labda kweli mkuu. Kwanini mtu mzima aandike uongo?
Sawa mkuu upo kama kaka yanguNdio maana mm natumia mabeg ya mtumba unakuwa nalo peke yako
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
LWP MAJITU. Asante kwa kunikumbusha mkuuHuo wimbo wameeimba kundu moja linatwa majitu,wapo jamaa walili, ameshilikishwa inspeter haruni, wimbo wao mwingine unaitwa mke WA mtu NI sumu,
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Tena saaaaana mkuu. Ilishawahi kukukuta hii mzee baba?
Kama ndiyo mzigo wako unabaki kuumia kwa ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado kubebewa begi na abiria mwingineHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki satto mwaka 2012 sasa ni family friend.
Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani uswahilini kwetu kwamba kuibiwa mume inauma sana kuzidi maumivu ya jino.
Kwa mfano labda ningekuwa nimemuoa Bushmamy alafu aje kugundua mimi mumewe Soldier ninaibwa na jimama kama witnessj vile eti maumivu yatakuwa makali kuzidi jino linavyouma nyakati za usiku.
Wooote wanaosema na kuushadadia msemo huu mimi ninawaona kama hawajui nini maana ya maumivu. Hivi unayajua maumivu ya mtu kushuka na mzigo wako wa thamani katika safari?
Yaaani umechaguliwa kujiunga na chuo cha SAUT huko Mwanza alafu unapokuwa safarini kwenda ku-report abiria mwenzio anashuka na begi lako uliloweka vyeti vyako vya form four na form six.
Hivi unayajua maumivu ya mtu kushuka na mtoto wako wa miaka 2 njiani baada ya kumuomba akubebee ndani ya daladala ya Mbagala - Kariakoo?
Mimi yalinikuta mwaka 2012. Baada ya kupata taarifa za kifo cha baba yangu mdogo nikiwa Dodoma ikanibidi kufunga safari mpaka Wilaya ya Rorya mkoa wa Mara.
Shughuli za mazishi zilienda kama zilivyopangwa hakika Mungu alikuwa ni mwema katika hilo lakini kwa bahati mbaya mama yangu hakuweza kufika kwa sababu kadhaa za kiafya kama ujuavyo watu wazima.
Kabla sijaanza safari ya kurudi Dodoma nimalizie michoro yangu alafu niende Dar kupumzika mama akanipigia simu akinisisitiza kwamba nipitie Bunda kwa shangazi mdogo wake na baba nimbebee samaki wake satto waliokaangwa vizuuuuri kabisa.
Sawa, nikasema isiwe kesi mimi huuyooo kutoka Tarime mpaka Bunda nikabeba samaki kisha nikasepa mpaka Mwanza nikalala siku moja pale guest moja ya Buzuruga kisha asubuhi huyo na bus la kuja Dodoma.
Bus ilikuwa inakuja mpaka Dar sasa mimi nilikata tiketi ya Dodoma kwa maana nina issues zangu huku. Nimeshuka ninapewa kondakta anatoa mizigo ya abiria kuangalia box langu halipo.
Daaaaah aiseee moto ulitaka kuwaka. Samaki hawapo? Nitamwambia nini bi mkubwa nikirudi Dar? Kumbe baada ya ukaguzi mzuri ikaja kugundulika kuna abiria mmoja alishukia huko Singida alikuwa na box kama langu ndio akaondoka nalo lakini yeye box lake likawa limebaki pale kwenye bus.
Alichokifanya kondakta akachukua lile box la abiria mwingine kisha akalipeleka ofisi zao kuu pale Dodoma akaniambia wewe nenda home ukalale kisha njoo baada ya siku mbili tutakupigia simu na utalikuta box lako la samaki hapa.
Sawa kwa kuwa ilikuwa ijumaa nikaenda jumapili asubuhi mida kama ya saa tano kasoro hivi nikakutana na yule yule jamaa aliyechukua box langu akiwa pale pale ofisini.
Baada ya kupiga story kadhaa nikaja kugundua kumbe anafundisha shule moja na mtoto wa mama yangu mkubwa pale pale Singida. Nilikereka lakini nikapata funzo moja.
Nikiwa ninasafiri begi/mzigo wangu unakaa katika boti ya pembeni inayotazamana na dirisha nililopo kiasi kwamba hata watu wakiwa wanashuka njiani ninakuwa ninaona ni nani anateremka na mzigo upi.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuu. HongeraSIJAWAI
ThanksSawa mkuu. Hongera
Kweli sio kila mzigo ni wa kubeba kama huyo baba aliyebebeshwa mzigo wa bangiHuko mbeya miaka ya nyuma kabla Bujibuji hajazaliwa kuna abiria alitamani box lilikuwa kwenye carrier ya ndani gari imetoka swanga linaenda tukuyu.
Jamaa akashuka mwanjelwa na box alililitamani.
Mbele kidogo mwenye box ana note kuwa mzigo umeshashuka. Kuuliza akaambiwa box limeshuka mwanjelwa. Akasema ndani mna mwili wa mtoto mchanga, alitumia mbinu tu ili kurahisisha usafirishaji.
Kilichotokea mbeba box alifika huko vichochoroni kufungua ohooo, ikabidi arudi stend ,
Mwisho walikuja kukutana na kumkabidhi mwenye mwili wake.
Be careful siyo kila zigo la kubeba mingine siyo.
Jamaa ni shiiiida aiseeKwamba Ulitaka kufanya umafia kimya kimya hahahahah!