Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Haya mambo yalishanitimokea sana ila naona drama maana sielewi wanataka nn au utani.

Nikiwa chuo Kuna mmoja kutoka chuga alinipenda sana mpaka watu wanajua ila mi sijui na anipakazia ...

Wengine Tena ni wamarangu kama wawili mmoja anasema eti nimuoe sasa sielewi mamuoje hata dini tupo tofauti.

Mwingine nae anapakazia kwa watu ndo kwanza ana sababisha watu wengi wanifuate mpaka wakaniweka kikao wakati sijui kumbe akitongozwa ananitaja eti ananikubali Mimi ...Nimeingia kweny bifu na jamaa wa kwao huko kitu hata sijui mpaka nimekuja mweleza mbele yake mi sina habari nae na wala sina ukaribu nae.
 
Kiukweli tofauti na huyu mwanamke namuita mke, wengine wote niliokula walinitongoza, baadhi kwa ishara
 
Kuna jamaa alikua anamtongoza mwanaume mwenzake kwenye taarab akidhani ni punga. Wenzake walipoenda kumpongeza muimbaji yeye alikwenda kumpongeza huyo aliye mdhania punga.
Aisee zilizuka ngumi ndani ya ukumbi mppaka mziki ukasimama kwa muda.
 
Huwa natongozwa na Wanawake Mara Kwa mara, wengi ni Kwa mitego ,wenye uthubutu ndio hunianza nao ni wachache.


Ninakula sana kimasihara Kwa Hilo kundi la kwanza lenye kunitega, Huwa silembi, nikishaona dalili, namsukumia nyama.
Leo ulale hukohuko
 
Jamii forum kila mwanaume ni very very handsome boy....bila kusah au wote huwa wanatongozwa.....hakuna ambaye ana mda na she.

Vice versa iz tru.

thankyuuu
Kutongozwa hakuna uhusiano na uhandsime...unaweza kuwa na sura paono na ukatongozwa
 
Mwingine ukimjibu hivi ndio anazidi kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…