NISHAWAHI TONGOZWA DIRECTLY MARA 4
1. Nilipokuwa Primary
Alikua mtoto mmoja wa kichaga, white mmoja safiii
Alimtuma dada yake aje anitongoze nakumbuka nilitoka tuition akanisimamisha (huyo dada yake) akanipiga swaga nikawa naona aibu, nilikataa lakini japo aliniahidi angenipa chochote ninachotaka. Alilia sana shule akaiona chungu
2. Wakati niko sekondari
Kuna mtoto mmoja wa primary tuliishi mtaa mmoja, nilikuwa maarufu mtaani na mimi ndio nilikuwa wa kishua. usiku ktk misele misele akaniita kwemye kigiza giza yule mtoto⦠akaanza kufunguka ya moyoni. Mtoto aliongea kwa uchungu sana kuhusu hisia zake
Nilimtazama nikamuona mdogo, nikaenda kuongea na mama yake kuhusu tabia ya mwanae, mama yake akamsema tukayaacha
Miaka imepita ana watoto wawili sasa hivi
3. First Year, wakati wa usajili kumbe kuna bidada alivutiwa na mimi
Sasa wakati tunahangaika hangaika kuna mdada mwingine nilibadilishana mawasiliano nae alimtiming akamuomba no zangu (alikuja nambia baadae)
Basi alinicheki tukachaat akanizoea, tukaanza kukutana sana, caring zikawa nyingi kwa upande wake lkn hakusema kitu⦠nami nikajizima data kama sielewi. Tulienda hivyo mpaka siku moja alivunja ukimya akaeleza hisia zake
Wakati anafunguka nikawa namtazama nawaza nitavyomkunja, alivyomaliza nikamuuliza ratiba yake jioni hiyo akasema iko free
Basi ilipofika usiku nilimpa location, mtoto akaja, nikamla usiku kucha
From there mimi nikawa mpenzi wake, yeye akawa FWB wangu!
4. Chuo- kuna mdada niliomba anielekeze kitu fulani⦠basi akaanza caring nae
Mara βumekula?β βUtakuja chuo leo!?β Na vitu kama hivyo
Nikajifanya sielewe, mpaka siku moja akafunguka kwenye msgβ¦ next day nikataka onana nae nikamuuliza kama yuko serious, akasema βim serious β
Nikamtazamaaa, alivyo mpole na heshima zake, nikawaZa nitakavyoyaminya minya matako yale manene, namna nitavyonyonya lips zile tamu⦠nikaona sitamtendea haki
Nikamwambia βMimi hutaniwezaβ
Akauliza βkwanini?β
Nikamwambia βmimi ni malaya sana sana sana, nina madem wengi wewe ukiongezeka utapata tabu tuβ
Akasema βwangapi?β
(Nilishtuka yeye kuuliza)
Nikamwambia βni wengi wengine siwajuiβ
Akanambia βhiyo ni tabia tu nitakusaidia kuiacha ubaki na mmoja tuβ (alikuwa mtu wa dini)
Nikamwambia βsipo tayari kuiacha hata kidogoβ
Alilalamika sana siku ile mpaka machozi yalimlenga, nikaona asikose vyote⦠nikamchapa french kiss walau afarijike⦠kaka smile kidogo, nikamwacha!
From there sikujibu text wala simu!
Huyu nilimkataa sababu nilimuonea huruma sana!
Popote pale ulipo J, ishi sana!!
Wengine kama alivyosema
Carlos The Jackal wanaonesha ishara mimi namaliza ni kama wanaanguka kwenye box hivi namalizia, mwingine alimtuma shost yake anambie eti amenicrush!
Nilimla usiku huohuo niliopewa hiyo taarifa.
Oh Kuna mwingine hapa namuona anakuja kujaβ¦!
Women, I LOVE YOU WITH MY LIFE!