Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Huu Ni ukomavu wa akili.
 
Mimi na nyota yangu ya punda ni kama mbingu na ardhi,ila yatapita tu!
 
many times nakumbuka mara ya mwisho, nilikuwa nipo na rafiki yangu tulikuwa tunafanya kazi na huyu demu, basi huyu rafiki yangu akawa anamuelewa huyo demu akaamua kumtokea wakati anamtongoza mimi nilikuwa nimekaa pembeni nasubiri wamalize niondoke na huyo rafiki yangu....asee huwezi amini huyo demu akamkataa mshikaji afu akanifata pale pale akasema mimi nakupenda wewe... nilikosa confidence nilikaa kama sekunde kadhaa hivi nikamuuliza unamaanisha..akasema " ndio mara kwanza nakuona,nikatokea tu kukupenda..daaah muda huo mshikaji wangu kanywea vibaya.. nikaona jau hata kuendelea kuongea nae huyu demu nikamkataa kimtind; ila ilikuwa pisi kinyama yaan[emoji119][emoji119] the rest is history.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…