Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Je, ulishawahi kutongozwa na Mwanamke?

Anhaha hata wanawake huwa wanahisia na hutokea kuvutiwa na mwanaume fulani.
Basi imewahi nitokea kama three years back,wakati nimejichanganya mjini napiga harakati za kusaka mpunga kwenye duka kama mfanyakati.

Sasa mnavyojua Town madukani kibao na duka jirani ni mwanamke alikuwa anauza pale she was MAMA MWENYE DUKANI na ilitokea tukazoeana as majirani sababu ya story story ukizingia naye bi dada kijana tu umri kama miaka 30s .

Siku moja tunapiga story tumekaa na vijana wengine tu,sasa wakati tunaongea nikawa namuona kama ana focus na kuniangalia sana anhaha.Si nikamuuliza as utani mama flani mbona unaniangalia sana kama nimekuiba, yeya anakatabasamu akasema MIMI NIMEKUELEWA UNASHAWISHI SANA HIYO BODY YAKO.
Asee niliona aibu nikawa mpole nikajibu kinyonge kama msimtaki,nyie wake za watu mnatuogopesha bhana sitaki kesi.Basi siku ikapita mhuni nikaona siyo fresh kumpotezea ikabidi nimtafute pembeni nikamwambia ulikosea kuniambia vile mbele ya watu ukizingatia wewe mke wa watu ungeniambia private nisingekuangusha.

Anhaha the rest is history nikala zangu mzigo halafu nikamtema mazina.Maana wake za watu mimi huwa siweke kambi kabisa ni HIT AND RUN

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Mimi imenitokea Sana sema Mimi nawakataaga maana Mimi naogopa mikosi hasa hawa wanawake ke wa watz ambao hawana bikra ukimgonga unarudi nyuma kimaisha . Pia ukiwakataa wanakuchukia na Mimi ndo napenda Sitaki uchafu
hivi kwanini umkikataa mwanamke anakuchukia hata kama alikutongoza kwa ishara DR HAYA LAND ? ishawahi kunitokea kwa dada mmoja alinionesha ishara mimi ni kawa kama sielewi da, alikuja kunichukia. na mwanamke mwingne hivyo hivyo hivi karibuni kwa kunikomoa kaamua kuwa ananipa salamu ya shikamoo.
 
Sio kweli
Basi endelea kuamini kuwa utakuja kutongozwa? Amini amini nakuambia yeyote ajae kwenye maisha yako hatokupenda wala kukujari mpaka aone kitu cha thamani kwako ambacho atanufaika nacho kwa kuwa na wewe. WAHUNI 2:5-8
 
Ishatokea sana

Ila mara nyingi manzi akikutaka mara nyingi ni mitego tu anakuwekea labda uwe zoba sana usimuelewe nini anataka. Wachache huwa na ujasiri wa kukwambia moja kwa moja.
 
Basi endelea kuamini kuwa utakuja kutongozwa? Amini amini nakuambia yeyote ajae kwenye maisha yako hatokupenda wala kukujari mpaka aone kitu cha thamani kwako ambacho atanufaika nacho kwa kuwa na wewe. WAHUNI 2:5-8
Bro unaongea kama vile unaongea na kakijana cha miaka 18 hadi 20 vile.

Mnawasingizia wanawake au mnakaa na wanawake wa aina gani huko kwenye dunia yenu?
Kwa umri huu nimeona nikipendwa kuanzia sina kitu na hadi mtoto wa mtu anataka kijidhuru nisipomkubalia?

Usinichokoze niandike nisiyopenda kuandika mkuu.

Wanawake wanaopenda bure wapo na wanapenda toka ndani na yupo tayari kugharamia mahusiano au yuko tayari kwa hali yako duni uwe naye hivyo hivyo.
 
1. Yes nimetongozwa mara nyingi
2. Niliona kawaida sio ajabu kutongozwa
3. Kila aliyenitongoza kwa dhati kwangu huwa namheshimu...ikiwa sitamkubalia nitampa heshima ya pekee, nitamheshimu kama alivyoziheshimu hisia zake akanitokea. ...nampa heshima kubwa na nitampa majibu yasiyovunja moyo.

Usimvunje moyo aliyekupenda...mpe sababu...mfano.

Dada ninashukuru mno kwa ujasiri wa kipekee.
Nimejisikia vizuri kusikia unanipenda...bahati mbaya nina mtu ambaye tuna uhusiano siriaz.....sipendi nikukubalie then nije kukuvunja moyo.
Nisamehe kama nitakuudhi kwa majibu haya plz.

Hiyo kauli nimeweka tu kama kauli ambayo unaweza kuitumia usimvunje moyo aliyeonyesha hisia za kweli kwako.
Hivi ni serious mnatongozwaga?? Eti naona sio rahisi..how?
 
Haya maisha kuna muda tu unajikuta ushamoenda kaka wa watu na unaona kusubiri akutongeze utasubiri sana huenda hana wazo hilo.

Unaweza kuonesha ishara ila ndio kama hakudomi hivi unaona kwani sh ngapi nikijivika mabomu mazima. Unamfata unampiga mistari kuwa umemuelewa.

Je, ushawahi tongozwa na mwanamke na ulichukuliaje?

Ulikubali au ulikataa?
kiukweli hakuna mwanaume anayekataa tatizo ni mwanamume aliyetongozwa kudumu kwenye mahisiano na mwanamke aliyemtongoza
 
kiukweli hakuna mwanaume anayekataa tatizo ni mwanamume aliyetongozwa kudumu kwenye mahisiano na mwanamke aliyemtongoza
HIvi mwanaume hana uchaguzi?
Hii ni dharau kubwa kwa wanaume wanaojua wanataka nini katika mahusiano
 
Back
Top Bottom