Choddi
Member
- Jul 27, 2018
- 94
- 188
Anhaha hata wanawake huwa wanahisia na hutokea kuvutiwa na mwanaume fulani.
Basi imewahi nitokea kama three years back,wakati nimejichanganya mjini napiga harakati za kusaka mpunga kwenye duka kama mfanyakati.
Sasa mnavyojua Town madukani kibao na duka jirani ni mwanamke alikuwa anauza pale she was MAMA MWENYE DUKANI na ilitokea tukazoeana as majirani sababu ya story story ukizingia naye bi dada kijana tu umri kama miaka 30s .
Siku moja tunapiga story tumekaa na vijana wengine tu,sasa wakati tunaongea nikawa namuona kama ana focus na kuniangalia sana anhaha.Si nikamuuliza as utani mama flani mbona unaniangalia sana kama nimekuiba, yeya anakatabasamu akasema MIMI NIMEKUELEWA UNASHAWISHI SANA HIYO BODY YAKO.
Asee niliona aibu nikawa mpole nikajibu kinyonge kama msimtaki,nyie wake za watu mnatuogopesha bhana sitaki kesi.Basi siku ikapita mhuni nikaona siyo fresh kumpotezea ikabidi nimtafute pembeni nikamwambia ulikosea kuniambia vile mbele ya watu ukizingatia wewe mke wa watu ungeniambia private nisingekuangusha.
Anhaha the rest is history nikala zangu mzigo halafu nikamtema mazina.Maana wake za watu mimi huwa siweke kambi kabisa ni HIT AND RUN
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app