Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele.
Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali sana. Nakaribia kuovateki gari ndogo nayo ikataka kuovateki. Nilipiga honi akarudi ndani nikaovateki mbele kulikuwa na bodaboda akatoka barabarani akanipisha, naye alikuwa spidi sijui ilikuwaje baada ya kumpita.
Mpaka leo huwa najiuliza yule jamaa wa gari dogo angeendelea kuovateki na ile spidi yangu sijui ingekuwaje!
Je wewe umewahi kufanya misteki barabarani ambayo haikuleta madhara?