DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Maeneo ya mabar sijui maguest mengi ni machafu hata watu wanaoenda hapo ni wachafu kuna harufu hata uuzaji wa vyakula vyake sijui wanakulaje baadhi ya nyama zile chafu huuzwa hapo.


Yaani kama uzinifu ni uchafu ukienda vyooni ni kuchafu kabisa ...walevi wastaarabu ni wale wanaoenda kweny Groceries zina mazingira mazuri kwanza zinapambwa ila sehemu za vurugu ni kwa washamba na wachafu kama mabars.
 
Asante kwa taarifa mkuu, operation Kali itakuja kufanyika
 
Hii hipo hata hapa Sudan hotel ukiingia ndani umo usiku wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa za bia ukeni naomba pia serikali iingie usiku Katika hotel ya Sudan kwa chini wajionee jinsi wanawake wanavyosasambua
Sasa hivi bar za wacheza uchi zinazidi kuongezeka hapa mjini. Sio ukeni hadi mlango wa nyuma. Haya mambo tulizoea kuyaona Ambiance kila Jumapili saivi huduma zimesogezwa hadi mitaani
 
Hii hipo hata hapa Sudan hotel ukiingia ndani umo usiku wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa za bia ukeni naomba pia serikali iingie usiku Katika hotel ya Sudan kwa chini wajionee jinsi wanawake wanavyosasambua
Panaitwa Royal Giraffe kila Jtano Kuna Kigoma cha Uruguay Malaya wanacheza uchi unanunua maji madogo kwa buku 2000 unamtawaza mbususu huku baunsa anasaka wanaopiga picha awatie nakoZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa naamini yale maneno ya Bible kuwa itafika siku wanawake ndoa watalipia kila kitu ili mradi tu wapate mwanaume wa kuwasitiri kwa heshima na mwanaume huyo asiwape lolote zaidi ya jina.

Maana siku zinavyozidi kwenda jamii inageuka kuwa kiwanda cha kuzalisha vijana wahuni na mabinti makahaba wasiojali kesho wataishia wapi.

Sasa hii scenario umeielezea hapa ni sodoma na Gomorrah kabisa yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…