balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Na hii biashara ipo Toka kuumbwa kwa mwadamu.Delila anatajwa alikuwa kahaba,mke Amos,Lilith na hata wakati wa Dola ya Rumi zilitengenezwa pesa maalum kwa ajili ya kulipia style za kubanduana.Chuma mboga ilikuwa na pesa yake,teke la nyau na pesa yake,kifo Cha Mendes pesa yake,mzungu wa nne pesa yake,kitikiti pesa yake nkKweli maana wanasababisha tusihonge, kwani tunao wahonga nao wanajiuza huko mitaani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kahama mjini pazuri mnoHivi mkuu Kahama mjini ni pazuri kiasi chake?..
Huduma muhimu kama maji,fresh foods,sehemu za starehe zipoje?
Duh, vijana wa hovyo katika ubora wenu😆Bar gani goms hiyo mkuu weekend hii nipo goms near kampala university twende tukajionee
Asee! Nilidhani ni story ya kunogesha story 😆Upande wa kulia kama unaenda kampala mwanzoni kabisa nadhani ndo hapo
Crocodiletooth hawana shida, wenye shida hapa ni wanaume. Wao ndiyo wateja wao. Waache kwenda kuwanunua kwa mwezi tu mmoja. Uone kama hiyo biashara itaendelea.Mama zetu na Dada zetu wanapoelekea hapajulikani, maandiko yanajitimiliza taratibu, wanaona kuvaa suruali, vimini, hakutoshi yote ni kuvutia vijana na akina baba, future inatisha.
Kwa nini wanatutega? 😁 wakati wanajua sisi ni dhaifu kwenye k, kama mbwa anapoona chatu.Crocodiletooth hawana shida, wenye shida hapa ni wanaume. Wao ndiyo wateja wao. Waache kwenda kuwanunua kwa mwezi tu mmoja. Uone kama hiyo biashara itaendelea.
Wanajianika sababu kuna wanunuzi, wanaume wanaonunua waache na kila kitu kitabadilika. Hakuna biashara inayoweza kuendelea, bila kuwa na wateja.
Kumbe shida iko kwenu. Kama wanajua udhaifu wenu, nanyinyi mnauendekeza basi ni hatari. Tusiwalaumu wanaouza miili na hii biashara haitakuja kuisha kama ni hivyo. Wanaume mkiacha vitu vingi, dunia itakuwa sehemu salama.Kwa nini wanatutega? 😁 wakati wanajua sisi ni dhaifu kwenye k, kama mbwa anapoona chatu.
[emoji2][emoji16]Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
Tuache K kweli.sasa uku kwingine cost sana uanze kuhudumia c bora kununua maana lengo ni kupata K tu.Kumbe shida iko kwenu. Kama wanajua udhaifu wenu, nanyinyi mnauendekeza basi ni hatari. Tusiwalaumu wanaouza miili na hii biashara haitakuja kuisha kama ni hivyo. Wanaume mkiacha vitu vingi, dunia itakuwa sehemu salama.
Duh basi kuna safari ndefu sana. Kama ni hivi hii biashara ihalalishwe tu. Ila mnakumbuka protection?Tuache K kweli.sasa uku kwingine cost sana uanze kuhudumia c bora kununua maana lengo ni kupata K tu.
Mleta mada asante sana kwa taarifa hizi.Inadaiwa polisi wa kituo cha Gogoni, Temboni,mazulu hupokea pesa kila siku ili wasiwasimbue,wengi wamepanga pia mitaa hiyo na kutoa huduma kwa bei ya 2000-3000 ,wapo watoto waliochini ya miaka 18 inadaiwa wametolewa mikoani hasa singida, kagera, Arusha, Kilimanjaro na nyanda za juu kusini.
Hivi mkuu Kahama mjini ni pazuri kiasi chake?..
Huduma muhimu kama maji,fresh foods,sehemu za starehe zipoje?
Ile unaingia mlango kama mdomo wa Mamba?!Kuna baa moja ipo chamazi inaitwa mikumi aisee ile baa ina mashoga sijapata kuona
Mkuu kahama kuko njema sana,kwa wilaya tofauti na zilizo makao makuu ya jiji,basi hakuna wilaya ya kuiliko manispaa ya kahama.Hivi mkuu Kahama mjini ni pazuri kiasi chake?..
Huduma muhimu kama maji,fresh foods,sehemu za starehe zipoje?
Hapo hapo mdomo wa mambaIle unaingia mlango kama mdomo wa Mamba?!
Chimbo zuri la mpira.. Jamaa anajiharibia kama ana ruhusu hao wa upinde kuingia