Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Kazi anayo kwhyo na mchepuko unaendlea nae?
 
Kazi anayo kwhyo na mchepuko unaendlea nae?
Ni miaka 4 nyuma kipindi na fumwa niliendelea nae kuhakikisha nakula mafao ya mzee wake Hadi alipoolewa na Mimi nilikuwa mmoja wa Wana kamati kwenye send off yake basi.

Mawasiliano yapo Hadi Leo SA ndo hivo sio wangu Tena ila yeye yupo ready any time nikihitaji naenda tu. Mi sitaki mke wa mtu.
 
🤣🤣Mkuu Hadi kwenye kikao Cha send off ulikuwepo na hpo bado ulikuwa unaendlea nae.....sasa hukujisikia kuumia?
 
Kitendo Cha kunifungia nisiingie kwangu maana yake umenipa Baraka zote nikalale Kwa mchepuko na nitaenda. Kwanza muda si nakuwa sijui kosa maana umejifungia.[emoji23]
uende tu na usiwahi rudi nyau wewe[emoji34] yani takufurahisha, hutawahi jaribu tenaaaa kwa nitavokuharibia mwakaa, aiseee weeeh[emoji28]
 
Siku hizi wanasema wenyew wanataka kuwa nyumba ndogo, kazi inakua solved. Maisha kusaidiana. Mambo ya kutoana ngeu sijui kuburuzana nje huko yamepitwa na mudaaa.....wote unawapa vtega uchumi na mahitaj muhmu safiiii
 
Point
 
Kisasi chake ni kwa watoto huko ataambulia zero square asijipe hope sana mazee
 
Na huu ndo ukweli wenyewe.

Mwanamke, anaweza kusema sawa nimerudi nimekusamehe lkn deep inside asiwe amekupa msamaha, na atalipiza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…