Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Mkuu ukiwa hivo utaishi Kwa shida sana kwanini simu Yako aikague na kama haitoshi anamchatisha mtu Ili iweje?

Umekuta ujumbe sawa lete hiyo Kero nitaona namna ya kujitetea.

Yule manzi na mjua Hana shida kabisa. Kwa maelezo yake baada ya kutukanwa Kwa msg alupigiwa simu akaona ajibu mapigo Kwa msg

Nae ni mtu tu hata yeye alikiri kosa na kuomba msamaha.

Binafisi Mimi Sina muda na simu ya wife kabisa otherwise inashida ama Mimi Nina shida nayo mfano bando limekata ghafla nitaomba atanipa nitapiga simu na kumpa simple.
 
Wanawake wengi hawana pakwenda 😄 Tena ukute Hana kipato chochote ataondoka ataenda wapi? Ataenda kula Nini? Kwahiyo itabidi arudi 2 asubirie chochote hapo. Ukikuta anae jiweza kiuchumi ndio byebye
Hujui kitu hayo ni maamzi binafisi ya mtu!!

Hapa napo andika Hivi Kuna mwanamke mfanyakazi wa sector binafisi. Mmewe ni mlevi Huwa anaenda Hadi kumtafta bar anamkuta na wanawake anabakia kulia na anamleta jamaa.

Jtano kulikuwa na Msiba kitaa tangu msiba utokee mwamba ndo karudi Jana jpili anaumwa

Yule dada alikuwa anamwambia wife nimechoka kabisa sasaivi sita mfaata Tena nimedharirika vya kutosha atajua mwenyew. Kikubwa Huwa anakumbka kurudi nyumbani

Jamaa ni fundi tu wa nyumba
 
Binafisi hata Mimi siwezi kubali. Heri nimeze kaa la moto ila sio kukubali. Ukakubali tu umeisha
 
Hii imekaa kama fix vile maana mmmh 😂😂😂😂 hawa jamaa na jinsi ulivyoandika hii habari sio kweli broo vinginevyo mke wako ni zaidi ya malaika na cha kushangaza bado yupo 😳😳
 
Kilichofanya nikuvue nyota ni kitendo cha kumuomba mchepuko msamaha huku wife umemkazia. Huwa pia nakuwa ngumu kuomba msamaha kwa wife lakini mchepuko ukimzingua wife aisee atajuta kwa nn aliamua kuchepuka na mm.

Michepuko huwa naiambia hata wife akimdunda mangumi anachotakiwa ni kukaa kimya au kukimbia baaasii sio kumsemea mbovu wife, siwezi vumilia huo upuuzi
 
Nanukuu,
""Mwanaume ni wa WOTE "" quoted from RC. CHALAMILA (MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM)
 


Atakuja tu Kuwa mchepukaji Kama Wewe, hawa wanawake ni kuishi nao kwa akili sana
 
Sawa wewe ndiye unayejua. Usifikie conclusion kwa sample 1 unayoijua kichwani
 
Me ilishanitokea lakin sio mke ni mtu niliyekua nampenda sana.

Sasa nilimuomba mchazo akawa ananipanga tu zaid ya siku 5, me huwa sijui kabisa kubembeleza kupewa penzi ukizingua nakaa kimya tu napotezea natafuta wale wanaoshoboka napiga.
(Kila mwanaume huwa Ana dem ambaye huwa hachomoi ukimtaka).

Yule mpenz alikua anapiga sim usiku siku hiyo sipokei na sms sijjibu mpaka asbui kumbe aliniona akawa ananifatilia mpaka naingia Lodge siku hiyo,akaja kunielezea kila kitu nilishtuka sana.

Ila nilikataa sikukubali na sikuomba msamaa ,akanuna wiki nikashikria msimamo wangu sikukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…