Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Ni ujinga kukagua simu ya mtu. Hiyo sio account ya pamoja kusema kila mtu ana haki nayo.
Na siwezi na haitatokea kugakagua simu kama naona dalili mbaya na mwambia Kwa haki hii mke wangu sitaweza kuendelea naww nimekuona hubadariki simple tu
 
Lile tukio lilinipa mafunzo mengi sana. Kwanza nilijiona mjinga wa kiwango Cha juu kuchepuka. Shida nyingine Kwa kutokua na uzoefu kwenye kuchepuka, kukamatika ilikua rahisi sana.

Pili, nikaona jinsi Gani namuumiza mwenzangu wangu Kwa kuchepuka. Ikafika mahali naogopa kuchepuka sio Kwa kuogopa kukamatwa au kugundulika, nikawa sitaki kabisa kumuumiza mwenzangu hata asipojua au kugundulika.

Machungu aliyokua nayo yalinifanya nichukue kabisa kuchepuka....

Back to your question...au basi
Mwanaume kuwa na mke mmoja tu kama tai shingoni mkuu wewe ni wakipekee. Wengine tuache kwanza.

Ila nikuhakikishie hata kama ungetubu Kwa machozi ya damu Hawa viumbe Huwa wanasamehe yaishe tu hapohapo!

Kukuamini ndo basi Tena Imeisha.

Kaa ukijua siku yoyote Ile ukileta sintofahamu atakukumbusha tu hata kama miaka 30 au uzeeni lazima tu akukumbushe na hapo utajua kumbe Bado analo.

Kuna visa vingi tu vya Hawa viumbe.

Hata wewe ukimfuma na ukakiri umemsamehe Bado hofu ya kupakuliwa itakuwepo tu hata kama ungekuwa makamu wa yesu.
 
Hebu na hili la gari lisemee kidogo naona nalo lina jambo la kukomaa nalo
Hii patashika haikua ndogo. Kwa vile wife aliondoka na gari Moja na hakutaka mazungumzo ya aina yoyote Wala kusema Yuko wapi, nikajua huenda ameamua kwenda Kwa Dada yake. Nikapiga simu kywasabahi na kuwajulia Hali nikiamini kama wameongea chochote, angesema. Tukaongea vizuri tu nikajua file langu haijafika mezani kwake.

Baada ya hapo nikamtumia wife sms kwamba apokee simu tuongee Kisha aendelee na mipango yake, vinginevyo najua yupo Kwa Dada yake ntaelekea huko kumtafuta. Akakubali tuongee.

Sasa nikaondoka na gari nyingine kuelekea slipway, njiani akili ikanijia, nikienda na gari inamaana baada ya mazungumzo, Kila mmoja atakua kwenye gari tofauti. Hii sikuipenda. Nikapark pale Makumbusho kulikua na askari wa SGA wanaweka kijiwe kulinda. Nikawaachia Msimbazi na kuchukua mawasiliano Yao kwamba ningeifuata gari baadae.

Nikataka bodaboda kunipeleka eneo la makutano. Nikamwambia boda asiondoke Hadi nimuone wife, nilipomuona Kwa mbali nikampatia ujira wake boda akaondoka. Nimemkuta wife anaongea na simu analia na kuhadithia dhahama niliyoiibua, sikujua anaongea na nani.

Tukaenda kwenye gari nikawa naendesha kuelekea kanisani. Hapo ndio akaanza kusema, unajua fika wazazi wangu hawapo, wewe ndio umekua Rafiki yangu, baba wa wanangu, Faraja yangu, Sasa naenda Kwa nani mie mbona umenifanyia hivi? Ilibidi niwe kimya tu. Baadae nikasema tu najua nimekukwaza na kukuumiza sana, Kwa sasa, sitakua na maelezo mengi sana ila kikubwa naomba unisamehe na ntakubaliana na maamuzi Yako Kwa hichi kilichotokea.

Turudi kwenye gari niliyoiacha Makumbusho...

Sikuweza kurudi kuichukua ule usiku, muda mwingi niliutumia kuweka mambo sawa na wife.
Nafanya kazi eneo tofauti hivyo ilibidi asubuhi niwahi kusafiri kwenda huko Hadi weekend inayofuatia ndio ningerudi Tena Dar. Nikampigia yule askari na kumtumia pesa nyingine.

Sasa kumbe pale nilipopak, mwenye eneo aliwaka kwanini gari imekua hapo siku mbili na hakuna maelezo? Dah! Ikawa gumzo, manispaa wakaja, pakawa na waandishi na watu kujaribu kujua ilikuaje gari ikatelekezwa, yule askari ikabidi anikane kwamba hajui chochote. Hayo yote yanatokea mie Sina taarifa.

Siku hiyo nimerudi Jumapili nafika eneo nilipoacha gari, siioni na kuwauliza wale waliikuwepo ndio kunipa taarifa ya kilichojiri. Lakini hakuna aliyejua gari Iko wapi, ikumbukwe sikuacha funguo. Nilichanganyikiwa ghafla.

Nikaenda Oysterbay police, kukagua kwenye magari nikajikuta Iko pale wametoa upepo. Kwenda kuulizia mapokezi, askari akataka kunisaidia lakini alipofungua maelezo ya kuhusu hiyo gari, akasema hawezi kufanya chochote. Hilo jambo lipo chini ya Mkuu wa Kituo.

Simu ikapigwa, nikaambiwa nije kesho yake Jumatatu. Nikawaambia mie ntasafiri kikazi kurudi hapo ni Hadi Ijumaa. Nikawaambia nikibaki, watanipa barua kwenda nayo ofisini kwamba wao ndio wamenisababishia nikosekane kazini Jumatatu? Ikawa gumzo baadae nikawahi airport kuelekea Kituo Cha kazi. Ila nilipata ahueni kuokuta gari Iko mikono salama. Hapo nikafoka kwamba hiyo gari inatakiwa ipakiwe na sio kuvuta (BMW) uzuri ilikua na namba za kibalizi, nikawaambia hili kosa mmefanya litawagharimu.

Ilipofika Ijumaa nikawahi Dar, nikaenda nyumbani kuchukua KADI ya gari na funguo za gari. Nikaenda kituoni nikatoa maelezo, nikaambiwa hapo Hadi Mkuu wa Kituo apate maelezo ndio atatoa muongozo. Yule kijana niliyemkabidhi gari alisema atakuja polisi nae akaingia mitini.

Kufikia saa kumi na Moja ndio Mkuu wa Kituo ananiita, akaanza kufoka, wewe unatumia madawa au pombe Gani? Kwanini unatelekeza gari? Nimetulia kimya. Akafokaa. Baadae nikamuuliza, kwahiyo, kama gari imeokotwa bila mwenyewe? Basi mwenyewe ndio Mimi nimeifuata. Akasema haiwezekani uichukue kimya kimya, siku tunaichikua kulikua na waandishi wa habari ni tukio kubwa, hatuweziruhusu ukaichukua bila kuurarifu umma. Nikamwambia kwanza mmeivuta gari badala ya kuipakia kwenye gari, kinyume na matakwa ya watengenezaji, mmeshaharibu vitu ndani. Pia nolikabidhi watu Ile gari, wamtafute huyo aliyewapa taarifa gari imetelekezwa. Nne nikawaambia kesho natakiwa ofisini bila kukosa na nisipoondoka na gari, wawe tayari kutoa maelezo mie naondoka.

Wakarubusu nichukue ila nilipe pesa za breakdown 300k. Wale jamaa nikawaambia mie sikuwapa kazi ya kuvuta gari, wamuone aliyewapa kazi. Baada ya VUTA-NKUVUTE ikabidi niwaachie 100k.

Hayo ndio marupurupu ya ziada niliyapata kama bakshish ya hilo tukio.
 
Mwanaume kuwa na mke mmoja tu kama tai shingoni mkuu wewe ni wakipekee. Wengine tuache kwanza.

Ila nikuhakikishie hata kama ungetubu Kwa machozi ya damu Hawa viumbe Huwa wanasamehe yaishe tu hapohapo!

Kukuamini ndo basi Tena Imeisha.

Kaa ukijua siku yoyote Ile ukileta sintofahamu atakukumbusha tu hata kama miaka 30 au uzeeni lazima tu akukumbushe na hapo utajua kumbe Bado analo.

Kuna visa vingi tu vya Hawa viumbe.

Hata wewe ukimfuma na ukakiri umemsamehe Bado hofu ya kupakuliwa itakuwepo tu hata kama ungekuwa makamu wa yesu.
Sasa kukataa kwako Bado hakubadilishi kwamba ana Imani na wewe.
 
Ndo lengo kuu la kuoa mwanamke awe mama wa nyumbani anilele wanangu na awe mlezi wa familia yte.

Hayo mengine mnayatafta wenyewe nimeingia ndoa za wezee wetu Zina amani Hadi Leo.
Housewives hawana options nyingi, wanawake wenye vipato huwa wanajiamini sana, hata ukisema suu anajibu chap na utashangaa atakavyojibu. So, yeah kuna wakati bora wakae home walee familia hasa kama huwezi kwenda nao sawa.
 
Huo ndo ukweli mkuu. Tupo nao huku makazini unachoka kabisa.

Mwanamke ana Watoto wa4 lkn Bado anashindana kutoka out na binti wa miaka 22!! Maajabu

Na ukimwambia kuhusu wanaume anakwambia mwanaume hawezi nibabaisha eti kisa nimezaa nae wee!!
 
H
Sasa kukataa kwako Bado hakubadilishi kwamba ana Imani na wewe.
Hata wewe kukubali kwako ama kuktaa hofu yake Iko pale pale ipo siku atakuambia tu. Na Tena kashakujua akifanya vile unapanic na kuomba msamaha chap Amin atakuja kufanya zaidi ya alicho fanya mwanzo anaweza tishia kujiua kabisaa
 
Huo ndo ukweli mkuu. Tupo nao huku makazini unachoka kabisa.

Mwanamke ana Watoto wa4 lkn Bado anashindana kutoka out na binti wa miaka 22!! Maajabu

Na ukimwambia kuhusu wanaume anakwambia mwanaume hawezi nibabaisha eti kisa nimezaa nae wee!!
Ndio maana ndoa nyingi kwa sasa ni tanuru la moto. Baadhi wana bahati kukutana na wadada wanajua kukaa kwenye nafasi zao.
 
Hii patashika haikua ndogo. Kwa vile wife aliondoka na gari Moja na hakutaka mazungumzo ya aina yoyote Wala kusema Yuko wapi, nikajua huenda ameamua kwenda Kwa Dada yake. Nikapiga simu kywasabahi na kuwajulia Hali nikiamini kama wameongea chochote, angesema. Tukaongea vizuri tu nikajua file langu haijafika mezani kwake.

Baada ya hapo nikamtumia wife sms kwamba apokee simu tuongee Kisha aendelee na mipango yake, vinginevyo najua yupo Kwa Dada yake ntaelekea huko kumtafuta. Akakubali tuongee.

Sasa nikaondoka na gari nyingine kuelekea slipway, njiani akili ikanijia, nikienda na gari inamaana baada ya mazungumzo, Kila mmoja atakua kwenye gari tofauti. Hii sikuipenda. Nikapark pale Makumbusho kulikua na askari wa SGA wanaweka kijiwe kulinda. Nikawaachia Msimbazi na kuchukua mawasiliano Yao kwamba ningeifuata gari baadae.

Nikataka bodaboda kunipeleka eneo la makutano. Nikamwambia boda asiondoke Hadi nimuone wife, nilipomuona Kwa mbali nikampatia ujira wake boda akaondoka. Nimemkuta wife anaongea na simu analia na kuhadithia dhahama niliyoiibua, sikujua anaongea na nani.

Tukaenda kwenye gari nikawa naendesha kuelekea kanisani. Hapo ndio akaanza kusema, unajua fika wazazi wangu hawapo, wewe ndio umekua Rafiki yangu, baba wa wanangu, Faraja yangu, Sasa naenda Kwa nani mie mbona umenifanyia hivi? Ilibidi niwe kimya tu. Baadae nikasema tu najua nimekukwaza na kukuumiza sana, Kwa sasa, sitakua na maelezo mengi sana ila kikubwa naomba unisamehe na ntakubaliana na maamuzi Yako Kwa hichi kilichotokea.

Turudi kwenye gari niliyoiacha Makumbusho...

Sikuweza kurudi kuichukua ule usiku, muda mwingi niliutumia kuweka mambo sawa na wife.
Nafanya kazi eneo tofauti hivyo ilibidi asubuhi niwahi kusafiri kwenda huko Hadi weekend inayofuatia ndio ningerudi Tena Dar. Nikampigia yule askari na kumtumia pesa nyingine.

Sasa kumbe pale nilipopak, mwenye eneo aliwaka kwanini gari imekua hapo siku mbili na hakuna maelezo? Dah! Ikawa gumzo, manispaa wakaja, pakawa na waandishi na watu kujaribu kujua ilikuaje gari ikatelekezwa, yule askari ikabidi anikane kwamba hajui chochote. Hayo yote yanatokea mie Sina taarifa.

Siku hiyo nimerudi Jumapili nafika eneo nilipoacha gari, siioni na kuwauliza wale waliikuwepo ndio kunipa taarifa ya kilichojiri. Lakini hakuna aliyejua gari Iko wapi, ikumbukwe sikuacha funguo. Nilichanganyikiwa ghafla.

Nikaenda Oysterbay police, kukagua kwenye magari nikajikuta Iko pale wametoa upepo. Kwenda kuulizia mapokezi, askari akataka kunisaidia lakini alipofungua maelezo ya kuhusu hiyo gari, akasema hawezi kufanya chochote. Hilo jambo lipo chini ya Mkuu wa Kituo.

Simu ikapigwa, nikaambiwa nije kesho yake Jumatatu. Nikawaambia mie ntasafiri kikazi kurudi hapo ni Hadi Ijumaa. Nikawaambia nikibaki, watanipa barua kwenda nayo ofisini kwamba wao ndio wamenisababishia nikosekane kazini Jumatatu? Ikawa gumzo baadae nikawahi airport kuelekea Kituo Cha kazi. Ila nilipata ahueni kuokuta gari Iko mikono salama. Hapo nikafoka kwamba hiyo gari inatakiwa ipakiwe na sio kuvuta (BMW) uzuri ilikua na namba za kibalizi, nikawaambia hili kosa mmefanya litawagharimu.

Ilipofika Ijumaa nikawahi Dar, nikaenda nyumbani kuchukua KADI ya gari na funguo za gari. Nikaenda kituoni nikatoa maelezo, nikaambiwa hapo Hadi Mkuu wa Kituo apate maelezo ndio atatoa muongozo. Yule kijana niliyemkabidhi gari alisema atakuja polisi nae akaingia mitini.

Kufikia saa kumi na Moja ndio Mkuu wa Kituo ananiita, akaanza kufoka, wewe unatumia madawa au pombe Gani? Kwanini unatelekeza gari? Nimetulia kimya. Akafokaa. Baadae nikamuuliza, kwahiyo, kama gari imeokotwa bila mwenyewe? Basi mwenyewe ndio Mimi nimeifuata. Akasema haiwezekani uichukue kimya kimya, siku tunaichikua kulikua na waandishi wa habari ni tukio kubwa, hatuweziruhusu ukaichukua bila kuurarifu umma. Nikamwambia kwanza mmeivuta gari badala ya kuipakia kwenye gari, kinyume na matakwa ya watengenezaji, mmeshaharibu vitu ndani. Pia nolikabidhi watu Ile gari, wamtafute huyo aliyewapa taarifa gari imetelekezwa. Nne nikawaambia kesho natakiwa ofisini bila kukosa na nisipoondoka na gari, wawe tayari kutoa maelezo mie naondoka.

Wakarubusu nichukue ila nilipe pesa za breakdown 300k. Wale jamaa nikawaambia mie sikuwapa kazi ya kuvuta gari, wamuone aliyewapa kazi. Baada ya VUTA-NKUVUTE ikabidi niwaachie 100k.

Hayo ndio marupurupu ya ziada niliyapata kama bakshish ya hilo tukio.
Wanaume wa Dar baadhi mnayumba sana. Imekupasa uishi kama malaika mkuu siku ukipinda kidogo tu tarajia balaa kubwa mno.
 
Mimi aliona hadi picha .sijui ile akili ilitoka wapi maana nili mla uku ana lia na hasira zake na ushirikiano akatoa baada ya kujifanya fanya hataki [emoji28][emoji28]hadi leo anakiri kati ya sex zote me na yeye,ile hawezi isahau .

Nme gundua mwanamke anae kuelewa akiwa na hasira uki mla ana enjoy sana ,hasira plus hisia zote ana malizia hapo ..[emoji41]
 
H

Hata wewe kukubali kwako ama kuktaa hofu yake Iko pale pale ipo siku atakuambia tu. Na Tena kashakujua akifanya vile unapanic na kuomba msamaha chap Amin atakuja kufanya zaidi ya alicho fanya mwanzo anaweza tishia kujiua kabisaa

Sijaandika Kila kitu hapa, vurugu haikua ndogo.

Alimwambia Hadi Mama yangu. Na wao wanajua ndoa ndio imefika tamati. Wakati wanasubiria niwaambie kuhusu huo mgogoro ndio nikaweka picha yake Profile Whatsapp na sijawahi kuongelea Hilo jambo Tena.

Of course Haina guarantee lakini niliweza kujinusuru Kwa hiyo siku.

Yakitokea mbele ya safari, tutajua namna ya kukabiliana nayo.
 
Nikweli msala Huwa unasovika kulingana na ulivyokuja. Big up
 
Mimi aliona hadi picha .sijui ile akili ilitoka wapi maana nili mla uku ana lia na hasira zake na ushirikiano akatoa baada ya kujifanya fanya hataki [emoji28][emoji28]hadi leo anakiri kati ya sex zote me na yeye,ile hawezi isahau .

Nme gundua mwanamke anae kuelewa akiwa na hasira uki mla ana enjoy sana ,hasira plus hisia zote ana malizia hapo ..[emoji41]
Hizi nyumba Zina Siri sana aseešŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom