Je, uliwahi kukutana na changamoto gani katika kutafuta ajira

Leo nilikua mahali nimekaa, akapita kaka mmoja na sabuni zake kwenye kibeseni anatembeza na hakuna anayenunua. Nimemuonea huruma sana.

Na ndo hao hao wamemdanganya. Anatia huruma mtu asiponunua 😅
Sijui nani amuamshe usingizini.
unakuta ndio mumeo yuko kujitafuta
 
Mimi nilikimbiaga, pale kindononi B nilivyoona ofisi hazieleweki ni kama store
 
Wemwanangu nomasana hiyoishanikuta mwaka 2011 nilitembea kwa miguu Toka tabatabima kule hadi kunduchi kule wanachukuaga hotel simba umevaa. Vizuri suruali ya kitambaa umechomekea una besenikibwa moja dogomoja hotpot Kama 2 zilezinakaa nne we kiatu kiliisha upande sikuhizi hio nasuluali ilikata upande uleule keshoyake nikaacha aisee nikaenda haloteli buguruni crast
 
Bob 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 your hand writing it's so amazing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…