Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
OgopaKijeba na sahani mbili za ugali na bado akaulizia ukokoView attachment 3234566
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OgopaKijeba na sahani mbili za ugali na bado akaulizia ukokoView attachment 3234566
Nimecheka sana et cashier kiatu mkononi🤣Inaendelea..5
Baada ya kula nikashangaa ananyooshea kidole njia ya kuelekea ilala boma nikamuuliza vipi akanijibu kwani we umemaliza mzigo wako ebu Acha utoto nikamtukana sana ila kimoyomoyo ila ustaarabu ukaniongoza basi tukaanza kufuata ile njia mpaka marapa bungoni tukapita hd mbele kuna mtaa unaitwa Arusha, huo mtaa una waarabu kibao inaonekana ni mtaa wake pendwa maana kila tulipogonga walikuwa wanafahamiana nae kuna house moja tuligonga ikatoka Mali hiyo asikwambie mtu akasema dada mambo leo umekuja na mkaka mpya kapendeza jmn ! hapo mm natamani kusema kitu but gubu liko moyoni kucheka nataka kulia nataka! Confidence nakosa kbsa nikaishia kuuchubua tu of course tuliuza uza pale ilala na mimi sasa ule mbeseni wangu ukanunuliwa ko nikamuomba jeba vile vyombo vyangu vichache vyenye vimebaki niweke kwake na nikahisi kuanzia hapo nitakuwa free from loads daah jeba likakunja Eti ooh ukiweka hvo basi unabeba nikasema famililah! ,wacha nivishike tu ilikuwa ni chupa ya chai , glass za kunywea maji zile zimebebanishwa na vikunio vya karoti na nyanya hivyo basi ndugu yangu jeba likasemaje eti twende hadi junction ya karume then tukunje had ofisini kwa mguu lahaula walakuata illabillah! nikajisemea sakwe leo ninalo Kusema kweli hapo mm nilikuwa tyr miguu iko hoi to the maximum nikagoma nikamwambia hapana tupande daladala hapo boma shule lkn jeba akawa hataki nikamwambia sikia kama hutaki shika vyombo vyako mm naondoka akasema we unampa nan kakabidhi ofisin upewe na posho nikamjibu Sina shida na posho yenu mimi sitaki chochote jeba akawa mpole akasema basi punguza hasira twende tukapande daladala wakati tunaenda kuna mwanangu mmoja nilisoma nae advance mlandizi pale mm nilimuona anasogea pande nilipokuwa sema yeye hakuniona nilishukuru maana angenichalazia sana😅yule mwamba kwenye group letu la WhatsApp,Ndo kupanda daladala hadi veta tukafika ofisini tukaenda kukabidhi vile vitu vikabaki store kule tukaambiwa tumsubiri cashier nae yuko site huko ndo aje kutupa posho kukaa hadi saa moja kasoro cashier ndo anarudi yuko hoi kiatu kimoja mkononi kimekatika daah akatupa buku 2 Kila mmoja pale sikuamini yaani nimengoja for more than 1 en half hour iyo buku 2 daah nilikuwa hoi sana ile buku2 nikapanda boda hadi ngozi pale then nikapanda daladala hadi Gongolamboto ndo nilikuwa nikiishi huko enzi hizo hallo! ni siku sitaisahau yaani Nikiona haya matangazo kwenye nguzo huwa yananikumbusha hii story na nikiona mtu anauza vyombo yuko smart kavaa mpaka tai reminds me of this story 😄 sitasahau sitasahau sitasahau ukiwa Huna ajira maisha huwa weird mnoo 🙌🙌END
Wenu katika ujenzi wa taifa
SAKWE..
~Mwisho~
Usicheke🤣🤣Kijeba na sahani mbili za ugali na bado akaulizia ukokoView attachment 3234566
Cashier naye anaingia mtaani kiatu mkononi kachoka kachoka tenaInaendelea..5

Inaendelea..5

Ila ulivumilia sana 😅Inaendelea..5

Nishapoa mkuu uhali gani!
Yani sijui nikuambieje 😅 ningemuachia huo mbeseni wake na hakuna ambacho angefanya 😅Ungekuwa wewe ungeingia mitini sindio 🤣

Leo nilikua mahali nimekaa, akapita kaka mmoja na sabuni zake kwenye kibeseni anatembeza na hakuna anayenunua. Nimemuonea huruma sana.Hahaha 🤣🤣🤣
Leo buana 😅Siku nikitulia nije niwape ka uzi kengine wakuu maisha haya 😃😁