Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

kuna wakati choo kilijaa pale shule, wanafunzi walizamika kujisadia wajuapo
kama kawaida watu wakufurahisha makundi, kuna siku nilipoona walimu wanaenda porini nikaropoka wanaenda kujisaidia... kilichonipata kilinipa umaarufu sana...
Kilitokea nini mkuu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naongoza kwa weusi yaani Mimi nimweusi, hakuna ambae hakunijua. Vile vile nilikuwa na nyazifa nyingi kuanzia darasani, baraza la wanafunzi, TYCCS na jikoni kwenye ugawaji wa msosi.

Barafu la moto
Mkuu inaonekana ulikuwa mnoko sana mana viongozi wa Chakula shule zote duniani huwa wanafanana tabia .hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwepo yaani mpaka wengine hunitania kwa kusema "we jamaa ulikuwa unatubania sana msosi, vipi hapo kwenye ghala la chakula la Taifa maisha yapoje". Nabaki tu kucheka
Mkuu inaonekana ulikuwa mnoko sana mana viongozi wa Chakula shule zote duniani huwa wanafanana tabia .hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app

Barafu la moto
 
Nilikuwa mkali wa Kiswahili balaa, ikatokea kupendwa na walimu woteeee, kuna wengine wakawaga wananipa mitihani nasahihisha, na kingine nilikuwa kadogo kadogo halafu kazuriiiiiiii na kasafi hhahaha aiseee ukubwani taabu sana stress zimefanya kasura kangu kapotee ovyo ovyo tu mfyuuuuu
 
Ningesoma na wewe lazima ningekuomba tu unipe,nilikuwa napenda tutoto tudogo tuzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…