Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilitokea nini mkuu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wakati choo kilijaa pale shule, wanafunzi walizamika kujisadia wajuapo
kama kawaida watu wakufurahisha makundi, kuna siku nilipoona walimu wanaenda porini nikaropoka wanaenda kujisaidia... kilichonipata kilinipa umaarufu sana...
Ndio.Endapo ndiyo. Ni kitu gani kilikupa umaarufu?
Mkuu inaonekana ulikuwa mnoko sana mana viongozi wa Chakula shule zote duniani huwa wanafanana tabia .hahahahNilikuwa naongoza kwa weusi yaani Mimi nimweusi, hakuna ambae hakunijua. Vile vile nilikuwa na nyazifa nyingi kuanzia darasani, baraza la wanafunzi, TYCCS na jikoni kwenye ugawaji wa msosi.
Barafu la moto
Mkuu inaonekana ulikuwa mnoko sana mana viongozi wa Chakula shule zote duniani huwa wanafanana tabia .hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
hii si hadi leo?Urefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,
Ningesoma na wewe lazima ningekuomba tu unipe,nilikuwa napenda tutoto tudogo tuzuriNilikuwa mkali wa Kiswahili balaa, ikatokea kupendwa na walimu woteeee, kuna wengine wakawaga wananipa mitihani nasahihisha, na kingine nilikuwa kadogo kadogo halafu kazuriiiiiiii na kasafi hhahaha aiseee ukubwani taabu sana stress zimefanya kasura kangu kapotee ovyo ovyo tu mfyuuuuu
Haahahahaha ndio nn kunichekesha hivyo,nlikuwa nasoma na kaka zangu wangekupa kipigo balaa, maana hata ukinisimamisha tu wakikuona basi kazi unayoNingesoma na wewe lazima ningekuomba tu unipe,nilikuwa napenda tutoto tudogo tuzuri
Ipi hiyo?hii si hadi leo?
wo wo woIpi hiyo?