Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Hongera kwa leba!.ila du si mchezo hadi wenzio kuleta barua zao uwaandikie.ubuyu wote ulikiwa nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA

plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB

ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda

Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha

UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga

Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida

Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti

O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo

Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya utotoni yana ladha ambayo huwezi ipata tena hata iweje.
 
Mapenzi ya utotoni yana ladha ambayo huwezi ipata tena hata iweje.

Kabisa, yaani unakuwa unaona kama dunia ni yenu tu. Halafu home kwao na kwetu tulikuwa tunajulikana, akipewa kitu anapewa na changu, mimi pia naambiwa mpelekee na fulani.
 

Uongo ulishaacha?

Maana isije hapa pia ikawa ni uongo.
 

Mkuu wewe ni jasiri kupata ziro si kitu cha mchezo
 
Kwa kweli umaaarufu wangu ulikua ni kucheka kwa kelele yani nikicheka darasani lazima niitwe nipate kiboko. Kama ni usiku mabwenini watu wanahamaki. mmh lile cheko sijui limepotelea wapi sijui ndo kukua. Kwa waliosoma na mm olevel A level mpk chuo wanaweza waka guess who am I. Kwa sasa naomba wanangu wasinirithi maana ilikua balaa. Wale watoto wa mama Lopa loleza tujuane
 
Haahahahaha ndio nn kunichekesha hivyo,nlikuwa nasoma na kaka zangu wangekupa kipigo balaa, maana hata ukinisimamisha tu wakikuona basi kazi unayo
Kwa watoto wa geti kali, tulikuwa tunawagonga kwa bao la mkono. Akifanikiwa kukupa chupi yake na sidira kwisha kazi
 
Primary namba moja, sekondari kuongoza history na physics, chuo nilikuwa na mkwanja mwingi sana, pasi ndefu kwangu ilikuwa no!, nilijulikana kama 'zimba'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh ww bado kijana mdogo aise. Hivi kumbe nimekula chumvi ee mwaka 2011 nimeshamaliza chuo.
 
Nlikuwa na redio peke yangu, vijana wooote wanakuja jion kuskiliza kwangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…