Yaani ubuyu wote nilikuwa naupata sababu ya mwandiko tuHongera kwa leba!.ila du si mchezo hadi wenzio kuleta barua zao uwaandikie.ubuyu wote ulikiwa nao kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaarufu wa skuli ni ama uwe kipanga/kilaza au mzuriiii kwa ke na sura ngumu kwa meShule ya msingi tulikuwa tunapenda kusimuliana nani mzuri wa shule, na mkienda kutembea shule hiyo mpaka mumwone.
Shuleni kwetu mzuri wetu alikuwa mchumba wangu na muda mwingi tuko naye, kwa hiyo nikapatia kaumaarufu kupitia hapo.
Mpaka maticha wananionea wivu.
Naona disclaimer hapo ili foleni ipungue piemu😀ukubwani taabu sana stress zimefanya kasura kangu kapotee ovyo ovyo tu mfyuuuuu
Umaarufu wa skuli ni ama uwe kipanga/kilaza au mzuriiii kwa ke na sura ngumu kwa me
Kwahiyo ukawa unatamba eh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliku naibu waziri wa ulinzi
Maarufu kwa kunyayasa watoto wa watu
Kaumaarufu nilikapata sana, maana shule nzima walikuwa wanamwelewa, sasa hapo hakuna jinsi lazima unifahamu tu na mimi.
Maana ilikuwa hadi tukiwa tunacheza mpira lazima awepo kunishikia madaftari.
Hahahaha bahati haiji mara mbili,hali kama hiyo inatokea nakumbuka nilipo kuwa Seco Kuna jamaa alikuwa mashaalah wanafunzi wa kike kila mmoja anatamani awe nae karibu jamaa alikuwa ananiimbisha wala simuelewi, akaniandikia barua nikaipeleka Ofisini alichezea stiki.
M 2007.2010
Halipo ,,lilinywea
Najutia kusababisha kipigo kwake
mawowo ya siku hizi yamekua kama maji ukiyaweka kwenye friji yanaganda ukiweka juani yanayayukaHalipo ,,lilinywea
Ukitaja shule tu watakujua hahaaaUrefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,