Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Shule ya msingi tulikuwa tunapenda kusimuliana nani mzuri wa shule, na mkienda kutembea shule hiyo mpaka mumwone.

Shuleni kwetu mzuri wetu alikuwa mchumba wangu na muda mwingi tuko naye, kwa hiyo nikapatia kaumaarufu kupitia hapo.

Mpaka maticha wananionea wivu.
Umaarufu wa skuli ni ama uwe kipanga/kilaza au mzuriiii kwa ke na sura ngumu kwa me

Kwahiyo ukawa unatamba eh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaarufu wa skuli ni ama uwe kipanga/kilaza au mzuriiii kwa ke na sura ngumu kwa me

Kwahiyo ukawa unatamba eh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaumaarufu nilikapata sana, maana shule nzima walikuwa wanamwelewa, sasa hapo hakuna jinsi lazima unifahamu tu na mimi.

Maana ilikuwa hadi tukiwa tunacheza mpira lazima awepo kunishikia madaftari.
 
Niliku naibu waziri wa ulinzi
Maarufu kwa kunyayasa watoto wa watu

Mkuu siyo mimi ila bwana mmoja kwa huna prof. Kabudi ati alikuwa best student kwenye DS100 hapo udsm. .

Hiyo ipo kwenye CV yake na dunia nzima inapaswa kufahamu kuwa huyu bwana alikuwa maarufu kweli kweli.
 
1. Back benchers
2. Minywele tim tim(hapa mabinti walipenda singa zangu)
3. Mpira wa miguu (bonge la striker)
4. Mgomvi (ilikuwa nanunua kesi- mara moja moja nilikuwa nadundwa)
5. Mtoro wa kudumu
6. Mchelewaji wa kudumu
7. Kichwa sana (hapa walimu walinipenda sana)
8. Sipendi kuchomekea
9. Sinyoshi uniform (Sekondari nilikuwa nanyosha)
10. Smoker
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kuna usemi wa teacher wangu wa class Sekondari sitausahau kamwe! "Time and tide wait no man"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maana hiyo unajutia hio nafasi kuikosa,, au [emoji16]
Hahahaha bahati haiji mara mbili,hali kama hiyo inatokea nakumbuka nilipo kuwa Seco Kuna jamaa alikuwa mashaalah wanafunzi wa kike kila mmoja anatamani awe nae karibu jamaa alikuwa ananiimbisha wala simuelewi, akaniandikia barua nikaipeleka Ofisini alichezea stiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna watu walikuwa maarufu skonga haswa zile za boarding kama wapiga picha...

Enzi hizo mi picha zile za kusafisha, ili upate picha yako ni hadi jamaa amalize mkanda...
 
Humu kila mtu alikua vizur darasani. Mpaka yule kilaza wa class kwetu nimeona amecomment alikua top performer hajui kama naifaham ID yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengne tulkuwa tupokama hatupo
Umaarufu ulikuja wenyew form1-4 baada ya kushndwa kuli pronounce neno INFRASTRUCTURE nikasema (inflachacha) nikapew jna Inflachacha shule nzma ililijua
 
Back
Top Bottom