Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Primary - Nilikuwa sifuti fimbo, shule nzima walikuwa wananijua na nikitumwa na mwalimu kutafuta fimbo darasa linaanza kulia kabla sijarudi nitakuja na vitu si mchezo.

Olevel - Kama kawaida sifuti fimbo na kupiga makonda wa Tegeta-Kariakoo

Advance - Sikua maarufu kabisa, nilikua doja sana.

Chuo - Machimbo ya chapati na maharage.
 
Mimi nilikuwa maarufu kwa kuwa nilikuwa na vitu vifuatavyo;

√Kipanga class primary hadi secondary

√Soka..nilikuwa nacheza sana show off games

√Nilikuwa ahead of time..mfano nilikuwa mtu wa kwanza school pale kuvaa tshirt niliyoprint jina langu basi,ikawa kelele kila sehemu

Nilivoenda advance nilikuwa kama sipo vile

Chuo kila mtu anamind bussiness zake
 
kuna wakati choo kilijaa pale shule, wanafunzi walizamika kujisadia wajuapo
kama kawaida watu wakufurahisha makundi, kuna siku nilipoona walimu wanaenda porini nikaropoka wanaenda kujisaidia... kilichonipata kilinipa umaarufu sana...
Ulikua na upumbavu uliopitiliza mzee baba [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedanganya hapa, 1992 hakukuwa na BBC SWAHILI,DW wala SAUTI YA AMERIKA.
 
Hivi bado una uzur napendaga sana wadada wanaoujua kiswahili !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikua kilaza hadi jina langu nilikua nasahau

Ila nilivyofika std 5 mpaka phd hawatokuja kusahau moto wangu

Moto wa hatari sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedanganya hapa, 1992 hakukuwa na BBC SWAHILI,DW wala SAUTI YA AMERIKA.

Are you serious?

Wakati wa vita ya Ghuba ya Uajemi (Bush Mkubwa vs Sadam 1991) tulikuwa tunasikiliza kupitia DW na BBC Swahili kwa Short Wave frequencies.

Wewe utakuwa umeanza kusikiliza baada ya redio za FM kuja zikawa zinajiunga.
 
1. Primary nilikua time keeper so kila mtu alinijua maana bila mimi kugonga kengele hakuna anaetoka darasani.
2. Secondary nilikua mtunza stoo ya magodoro ya kulalia hivyo usiku kabla ya kulala na asubuhi tunavyoamka ni lazima nitafutwe nilipo kufungua watu wachukue magodoro /kufungia magodoro asubuhi.
3. Advanced school nilikua Head Prefect, South I was number one famous student in my school.
4. University nilikua Rais wa chuo so nilikua pia the most famous student at my university College.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary ubishoo + viakili kiaina na olevo walikua wananiita genious. Eti sisomi afu nafaulu.. Dadeq advance nilijulikana kuwahi kutoka prep nashindana na fom5. Ckuwahi kufaulu mpk Necta. Madogo uko wananishangaa sana.nilikua naangalia sana pilau kwa sauti kubwa via vile viblutuz spikaz , haha uboizin bana..
 
Kuna watu humu baba zetu mwaka huo mimi nazaliwa aisee

Mwaka huo ilikuwa kila siku jioni lazima msikilize BBC Swahili, DW, tulikuwa tunasikiliza kupitia short wave frequencies.

Nakumbuka Sadam anatishia kupiga Bomu la nyuklia eti liuwe dunia nzima.

Sasa huyo jamaa anasema eti hazikuwepo. Hizo radio ni za long sana.
 
primary nilikuwa mgonga kengelee.... watu wana nionea wivu kinyama na saa yangu kaliiii... nikipita tu wanashangilia wanajua muda wa mapumziko umefika
 
shikamoo baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…